Kama Tanzania haina dini zanzibar inakuaje christian country?Zanzibar is a Christian country kama ulikuwa haujui ingawaje >98% ya wakazi wake ni Waislamu lkn mfumo mzima wa Zanzibar ni Christian, hivyo usifananishe na Katar ambayo ni Islamic country, …
Wanywe nani ukipiga marufuku??Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
prove Znz is Christian country.
Hao wachaga tutawatimua warudi bara ndio wanachangia kuharibu utamaduni wetuSina hamu na nyie. Nilifikia Golden Tulip ile mpya kule airport na kumbe walikua hawauzi pombe nikasema basi ngoja nikatafute wine nijipigie zangu huku nawatch world cup. E bwana nilizunguka hadi kizunguzungu, supermarket kama nne hivi hamna wine. Nikabahatika kwenye supermarket moja hivi ya mchaga nikasema hapa nachukua kila kitu staki ujinga
Kufuata maagizo ya Allah na utalii ni kipi cha muhimu zaidi?Mnataka uaaa utalii kwenu ehhh
Ova
Nyie mnabakia kuwalaumu wabaraHao wachaga tutawatimua warudi bara ndio wanachangia kuharibu utamaduni wetu
Hamna jeuri ya kuwatimua. Wangekua machinga sawa,sasa uingie supermarket kwa mtu ummind kisa anauza wine si ndo uchizi huo. Hata Qatar hamna huo ujingaHao wachaga tutawatimua warudi bara ndio wanachangia kuharibu utamaduni wetu
Usijifanye mchamungu wkt huko sodoma na gomorrah kama kawaKufuata maagizo ya Allah na utalii ni kipi cha muhimu zaidi?
Wao wenyewe hku bara wamewekezaHamna jeuri ya kuwatimua. Wangekua machinga sawa,sasa uingie supermarket kwa mtu ummind kisa anauza wine si ndo uchizi huo. Hata Qatar hamna huo ujinga
Kwanini msiige dubai kuna nguruwe, beer za kumwaga wageni, uchumi unapaa kwa kasi? 🤣 🤣Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Wote tutadhibitiNyie mnabakia kuwalaumu wabara
Wageni toka nje hamuwaoni ehh
Mnaokula nao madawa kulevya,kufanya ushg nk
Ova
Kutembea uchi na kuzini hovyo ndio tabia za stone age, mwanadamu alipostaarabika ndio akaanza kuvaa kwa stara na kufunga ndoaWewe kama hunywi pombe au huli mbususu acha wengine wazichakate,usilazimishe tabia zenu za stone age kwa watu wastaarabu, au sepa kaishi na wenzako wa Talebans mkatane mikono vizuri
Sheria zipo, kuuza kilevi ni lazima uwe na kibali maalum, kama unavunja sheria usichukuliwe hatua?Hamna jeuri ya kuwatimua. Wangekua machinga sawa,sasa uingie supermarket kwa mtu ummind kisa anauza wine si ndo uchizi huo. Hata Qatar hamna huo ujinga
Kwani kudhibiti uozo wa kimaadili kunahitaji uwe islamic country?Zanzibar is a Christian country kama ulikuwa haujui ingawaje >98% ya wakazi wake ni Waislamu lkn mfumo mzima wa Zanzibar ni Christian, hivyo usifananishe na Katar ambayo ni Islamic country, …
Wewe kama unapenda kuvaa kama ninja hujakatazwa, vaa na mkeo, acheni tabia ya kulazimisha mambo yenu kwa wengine, na kuchakata au ndoa ni swala binafsi acheni ujinga kuingilia faragha za watuKutembea uchi na kuzini hovyo ndio tabia za stone age, mwanadamu alipostaarabika ndio akaanza kuvaa kwa stara na kufunga ndoa