Ukisoma katikati ya mistari utagundua hizo energy wakipewa zikiwa na mchanganyiko wa kilevi ili walewe waweze kutimiza azma yao hao wahuni.Vijana dar hizi energy wanakunywa hamu, na kuongeza nguvu za kazi, zanzibar wanapewa ili marinda yalainike, maumivu wanapata asbuhi😂😂😂😂😂.. dogo wamezoea hawa😂😂
Najzuia kuchangia nyuzi ambazo hazina michango chanya zaidi ya kuchochea malumbano yasiyo na hoja na dhihaka.
😂😂😂Na ndgu zako kule migombani wanadili mpaka jinsia.
Mtihani mkubwaMtoto wa miaka 18 inakuaje unakuwa kama mtoto asiyejielewa au wanawatilia vilevi kwenye izo energy
Yaan wapewe adhabu kulingana na kosa lao kisheria.Wahasiwe au wakatwe kabisa
Hatujakataaa ndo kufanyisha watoto au watu wasio ridhia na hayo mambo?Inafanywa waziziz khaaa.....ushasahau nchi imesaini mikataba kibao ilifungamana na hayo mambo
Ni noma sana......Wingi wa Makamasi sio Ukubwa wa Pua.Na udogo wa Zanzibar na idadi ya watu, hiyo takwimu inatisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuuVijana dar hizi energy wanakunywa hamu, na kuongeza nguvu za kazi, zanzibar wanapewa ili marinda yalainike, maumivu wanapata asbuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. dogo wamezoea hawa[emoji23][emoji23]
Ukisikia kuna hata mmoja amekamatwa na kupelekwa mahakamani nitakunya pale Azania Front Mchana kweupe.Yaan wapewe adhabu kulingana na kosa lao kisheria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann??Ukisikia kuna hata mmoja amekamatwa na kupelekwa mahakamani nitakunya pale Azania Front Mchana kweupe.
Corrupt gov never get concerned
Ile kitakatifu siyo!?..full upakoAtakuinamisha na kukusweka