The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
“Mwanangu alipotea wiki tatu na nusu nikawa namtafuta, nikawa napiga simu mule mote anapopajua, sehemu anazokwenda, juzi Jumamosi ndio nikapigiwa simu kwentu wakaniambia wamemkamata. Kumuhoji ndio akasema alipokuwa na alivyofanyiwa. Kujisikia, najisikia vibaya sana na najisikia uchungu mkubwa sana, nilikuwa namtegemea kwasababu najua hii ni zawadi amenipa Mwenyezi Mungu, leo hii zawadi yangu kwanini inaharibiwa? –
Nikiwa kama mzazi hii imenichoma sana, dunia sijui inaelekea wapi hii eeh Mungu tukinge na haya majanga.
Nikiwa kama mzazi hii imenichoma sana, dunia sijui inaelekea wapi hii eeh Mungu tukinge na haya majanga.