Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wanatekeleza ushauri wa Robert Amsterdam wa kuleta machafuko ili wapate international community attention.Hakuna aliyeuawa hadi muda huu.
Vijana 42 wamekamatwa kwa kufanya fujo
Hii kick ya mauaji haitawasaidia
Ushahidi waje kukupa hapo kwako?Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Acha kutengeneza uzushi wa kipumbavu kama huu jaribu kuwaheshimu watanzania kuwa wana Akili timamuWanatekeleza ushauri wa Robert Amsterdam wa kuleta machafuko ili wapate international community attention.
Sasa hata kura hazijapigwa. Mnaweza ku justfy vipi ulazima wa vurugu zenu? Wazanzibar wa mrengo wa Maalim Seif waache ujinga.
Sasa unaitwa USHUZI tutaongea nn mm na ww kama we binafsi umeshindwa kujiheshimu na kujipa thamani ya uhai wako. Unajiita USHUZI.Acha kutengeneza uzushi wa kipumbavu kama huu jaribu kuwaheshimu watanzania kuwa wana Akili timamu
Kuna mtu anasema kati ya Watu milioni 60,hakuna atakayeweza kuyaendeleza yale aliyokwisha yafanya.Huu ni uzushi! Kwa nini mnajifunza mambo mabaya kutoka kwa mgombea wenu, Antipasu !? Yaani mambo ya uongo, uzushi, kejeli, kujisikia, ujeuri na mengine kama hayo!
Wenye comment kTunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
ALERT: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
View attachment 1614174
Maalim Mungu anakuona. Unachochea wa Zanzibar kwa uchu wa madaraka wakati huo wewe umejifungia ndani. Kiongozi ni kutangulia mbele wakufuate, ila inakuwa tofauti.
Hiyo risasi mbona Ni nzima haijalipuka? Una mdanganya Nani?
Risasi ipige mtu ibaki ilivyo? Hilo ganda lingeanguka eneo ambapo mpigaji ( mwenye bunduki) angekuwepo, sehemu ya mbele ndiyo ingempiga mlengwa,
Propaganda za kipumbavu Sana, heshimuni majeshi yenu msipakae matope kisa madaraka tu.
Wadanganyeni mburula wenzenu waisiojua lolote! Shame on you.
Mkuu,watch out what you wish for.Dead men tell no tales
Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Habari za uongo lete uthibitisho
Propaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Wanatekeleza ushauri wa Robert Amsterdam wa kuleta machafuko ili wapate international community attention.
Sasa hata kura hazijapigwa. Mnaweza ku justfy vipi ulazima wa vurugu zenu? Wazanzibar wa mrengo wa Maalim Seif waache ujinga.
List ya wazanzibar walio uliwa na ndugu zao wa Tanganyika View attachment 1614183
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nimekutamani ! Ningekujua kwako walahi ningekutanguliza mbinguni.Yes lazima mfe ili kieleweke wajinga nyie, fuateni sheria
Nini kinafanya iwe ni sahihi kuuwa watu?Mbona hamuweki chanzo cha kadhia nzima ya tukio hili la kusikitisha la mauaji?
Ndiomana tunazimiwa mitandao kwa upumbaf kama huu,mambo mazito kama hayo huwezi kuyaleta kienyeji namna hiyo.ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
View attachment 1614174
Hao waliopigwa risasi wapo wapi?Unajifanya mjuaji huku hujui kuwa risasi inamissfire. Huyu ameonesha risasi ya moto iliyomissfire na kuwa ejected ili kuwaonesha wapuuzi kama wewe kwamba zinazotumika ni risasi za moto.