Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Haya ni mataifa mawili tofauti na infact hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara bali kuna Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi najiuliza kitu kingine utawala wa Mwinyi unatoa wapi fedha za ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja tofauti na watangulizi wake?

1. Kabomoa soko la Kwereke na La Mombasa, anajenga kwa upya.
2. Kabomoa uwanja wa Amaan Stadium anaujenga upya,
3. Stand ya kariakoo Zanzibar ilijengwa nadhani kuelekea 2020 lakini mwaka huu imebomolewa inajengwa upya,
4. Kaing'oa ng'oa barabara ya uwanja wa ndege na anajenga mpya,
5. Barabara za ndani hivi sasa nyingi nyingi zinajengwa.
6. Mradi wa bandari mpya Mangapwani,
7. Miradi ya majengo mbalimbali unguja

8. Ujenzi wa bandari pale Maruhubi
9. Ujenzi wa masoko ya kisasa Kwa Nyanya na Mkwajuni.
10 ujenzi wa fryover kwerekwe to Amani........
Je huyu mwamba anatumia fedha za kodi pekee na mikopo?
Au Samia hela nyingi kutoka bara anampa????
Anatoa mfukoni mwake
 
Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?

Mkuu unauliza mafuta uarabuni hujui kama wazanzibar ni wa Arabu
 
Tatizo bara hatuna kiongozi, ni muigizaji tu ndie yupo ikulu.
 
Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Watanzania Visiwani wanajitambua kuliko sisi wasaka teuzi
 
Hapa sasa ndio naelewa , Tanganyika ina viumbe wa namna gani, wa Zanzibar wanatuzidi akili ndio mana wanatufanya watakavyo
 
Back
Top Bottom