Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Haya ni mataifa mawili tofauti na infact hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara bali kuna Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatoa mfukoni mwake
 
Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?

Mkuu unauliza mafuta uarabuni hujui kama wazanzibar ni wa Arabu
 
Tatizo bara hatuna kiongozi, ni muigizaji tu ndie yupo ikulu.
 
Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Watanzania Visiwani wanajitambua kuliko sisi wasaka teuzi
 
Hapa sasa ndio naelewa , Tanganyika ina viumbe wa namna gani, wa Zanzibar wanatuzidi akili ndio mana wanatufanya watakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…