johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Namuona Daudi Mchambuzi kwenye foleni!View attachment 1613504
Wanajeshi na mgambo kutoka Bara ndiyo wapiga kura wa ZEC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Daudi Mchambuzi kwenye foleni!View attachment 1613504
Wanajeshi na mgambo kutoka Bara ndiyo wapiga kura wa ZEC.
Naomba kueleweshwa Jambo kuhusu hili,hizi kura za leo matokeo yake yatabandikwa au yatasubiriwa ya kesho wajumlishe kabisa ama watabandika ya kesho Kisha yataongezewa na haya?.
Ili wale wa kujumlisha wazijumlishe zote,ni katika kupata takwimu halisi tu.
Maduka yamefungwa!
ACT Wazalendo na CHADEMA Zanzibar wote mtapiga kura kesho, Leo wanapiga walinzi na watumishi wa ZEC Sawa.ACT Wazalendo na CHADEMA Zanzibar kama kupiga wote tunapiga Leo Leo kama ni kesho wote kesho
Ukoloni sasa baasi!
Kama hoja ni kuwapa nafasi kuhudumu vizuri siku ya kesho, Iweje basi kesho wapige tena kura ya Rais wa Jamhuri wa Muungano?Kura zinapigwa mara mbili kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama nafasi ya kuhudumu vizuri siku ya kesho, sasa mnapo vuruga na siku ya leo mnaendelea kuthibitisha kuwa mnapenda vurugu na walioweka siku mbili tofauti walikuwa sahihi kabisa
Amani......amani bwashee.Kuna zaidi ya maduka kufungwa, hiyo kwako ni hali kuwa shwari bwashee?
Tuweke mambo ya siasa pembeni na kujitoa akili. Uchaguzi uishe kwa amani tuendelee na mambo mengine ya msingi.
Nao ni raia na Wana haki ya kunchagua kiongozi wanaemtaka Kama wewe utakavyofanya.Vyombo vya Ulinzi navyo vinapiga kura [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Amani......amani bwashee.
Kuna maisha baada ya uchaguzi!
Nao ni raia na Wana haki ya kunchagua kiongozi wanaemtaka Kama wewe utakavyofanya.
Zanzibar shwari kwa mujibu wa CCM?Zanzibar hali ni shwari na leo kura ya mapema ndio inapigwa na tukio liko mubashara ITV.
Karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Endeleeni kufurahia, hamjui linalokuja mbele yenu. It’s official Magufuli wenu na watu wake wanaanzishiwa uchunguzi na kutakiwa na ICCAct wazalendo na chadema Zanzibar wote mtapiga kura kesho, Leo wanapiga walinzi na watumishi wa zec. Sawa.
Unachokiogopa lazima utakutana nacho tu - Mungu ni fundi mzuri hakuna aishiye mileleUsionje sumu kwa ulimi