Zanzibar 2020 Zanzibar wapiga kura ya mapema. Makundi yanayoshiriki ni Watumishi wa ZEC na Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Oktoba 27, 2020)

Zanzibar 2020 Zanzibar wapiga kura ya mapema. Makundi yanayoshiriki ni Watumishi wa ZEC na Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Oktoba 27, 2020)

Naomba kueleweshwa Jambo kuhusu hili, hizi kura za leo matokeo yake yatabandikwa au yatasubiriwa ya kesho wajumlishe kabisa ama watabandika ya kesho Kisha yataongezewa na haya?

Ili wale wa kujumlisha wazijumlishe zote, ni katika kupata takwimu halisi tu.
 
Naomba kueleweshwa Jambo kuhusu hili,hizi kura za leo matokeo yake yatabandikwa au yatasubiriwa ya kesho wajumlishe kabisa ama watabandika ya kesho Kisha yataongezewa na haya?.
Ili wale wa kujumlisha wazijumlishe zote,ni katika kupata takwimu halisi tu.

Zitatunzwa bila kuhesabiwa, zitahesabiwa kwa pamoja na zile za kesho.
 
ACT Wazalendo na CHADEMA Zanzibar kama kupiga wote tunapiga Leo Leo kama ni kesho wote kesho

Ukoloni sasa baasi!
ACT Wazalendo na CHADEMA Zanzibar wote mtapiga kura kesho, Leo wanapiga walinzi na watumishi wa ZEC Sawa.
 
Kura zinapigwa mara mbili kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama nafasi ya kuhudumu vizuri siku ya kesho, sasa mnapo vuruga na siku ya leo mnaendelea kuthibitisha kuwa mnapenda vurugu na walioweka siku mbili tofauti walikuwa sahihi kabisa
Kama hoja ni kuwapa nafasi kuhudumu vizuri siku ya kesho, Iweje basi kesho wapige tena kura ya Rais wa Jamhuri wa Muungano?
 
Kuna zaidi ya maduka kufungwa, hiyo kwako ni hali kuwa shwari bwashee?

Tuweke mambo ya siasa pembeni na kujitoa akili. Uchaguzi uishe kwa amani tuendelee na mambo mengine ya msingi.
Amani......amani bwashee.

Kuna maisha baada ya Uchaguzi!
 
Zanzibar hali ni shwari na leo kura ya mapema ndio inapigwa na tukio liko mubashara ITV.

Karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Zanzibar shwari kwa mujibu wa CCM?

Mnayoyafanya Zanzibar yameshajulikana duniani sasa jiandaeni kuukabili mwitikio ya jumuiya ya kimataifa including Viongozi wenu kupelekwa ICC
 
Wizi mtupu wa Kura! Kwani Tanganyika hakuna Watumishi wa NEC mbona hatupigi mara mbili
 
Watu wangapi wanapiga Kura hizo za mapema suali ambalo halikupatiwa jibu ,kwa maana hio Uchaguzi huo wa kura za mapema hauna mashiko tena chini ya kimataifa kunahesabiwa hakuna Uchaguzi hapo.
 
Zanzibar (Unguja na Pemba) hakuna Amani yyte. Milio ya Risasi, Mabomu kila sehemu, polisi wanapiga raia, wengine wameuliwa, Washenz wakubwa mnajisahau km kuna wazee wagonjwa, kuna watoto wadogo wasioweza kujilinda! hamna utu kabisa.
 
Act wazalendo na chadema Zanzibar wote mtapiga kura kesho, Leo wanapiga walinzi na watumishi wa zec. Sawa.
Endeleeni kufurahia, hamjui linalokuja mbele yenu. It’s official Magufuli wenu na watu wake wanaanzishiwa uchunguzi na kutakiwa na ICC
 
Back
Top Bottom