Wamefukuzwa kwa sababu wameleta fujo...."kazini kwako"...!Ofisi binafsi,ya chama au ya umma?Kama ni binafsi au ya chama ni sawa kuweka bendera.Lakini,kama inatumiwa na watu wote/umma,kuweka bendera za kisiasa ni upumbavu uliopitiliza viwango.
HALAFU;Kulikuwa na ulazima au umuhimu gani wa kuwafukuza hao watalii/wageni wa Kiizraeli kwa sababu ya kuuliza walichouliza tu?Hakukuwa na namna ya kuwaelewesha kuhusu uhuru wa kufanya mambo katika nchi(Zanzibar)bila kuvunja sheria?Hoja kuu ya kuwafukuza ni ipi?
Unachanga madawa mazee. Free Palestine na Hamas wapi na wapi! Wabongo tuna tatizo la kutotaka kusoma. Kizazi cha sasa hivi, (under 30 years) wengi hawajui undani wa mgogoro wa Israel vs Palestina. najua msimamo wa UN kuhusu huu mgogoro? Unajua msimamo wa nchi nyingi ikiwepo Tanzania?Siungi mkono ushoga ni laana.Lakini mashoga sio tishio kwa maisha ya mru kama Hamas.Kuweka neno free Palestine mbele ya mu Israel si sahihi kwa hotel
Tumelijadili awali.Hebu tusaidi kuhusu neno ...they were complaining"...!Tafsiri kwa kiswahili ni nini hasa?Wamefukuzwa kwa sababu wameleta fujo.
Inawezekana wewe ndiye unapenda kunywa mchuzi wa maharage ila maharage huli.Elewa jibu.Unachanga madawa mazee. Free Palestine na Hamas wapi na wapi!
Kusema au kuandika free Palestine hakuna uhusiano na uungaji mkono Hamas!Inawezekana wewe ndiye unapenda kunywa mchuzi wa maharage ila maharage huli.Elewa jibu.
Hao siyo wabishi ni wajinga.Wapewe tu refund yao, wafanyabiashara wa bongo wanapenda kufanya biashara kwa mazoea, wanapokutana na wabishi kama hao inakuwa changamoto sana kwao.
Kimbia na usirudi tenaHapa Manyovu tumesema "umehepa swali mugabho"!Ngoo,umehepa!๐
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sanaMtu akishasoma kitabu cha mud na kukiamini automatically aspojikontroo anakuwa gaidi
AhahahahaaaaUmetafakari kwa kina au umekurupuka kumbuka Hilo ni gari binafsi ni kama wewe ukiwa na gari yako ndani umeweka bendera ya Chadema afu ukalipaki kazini kwako afu wafuasi wa CCM walalamike
Bado kuna changamoto ya upokeaji wako wa habari.Hamas ni Wapalestina. Kama Wapalestina wangekuwa wanajitenga na Hamas ningekunong'oneza.Cha ajabu,hata wakiambiwa wajitenge nao hawatii.Kipigo na mateso wakichanganywa na Hamas ni hitaji zuri la mioyo yao.Hiyo free Palestinians ni sawa tu na kuandika "Reside Hamas "!Kusema au kuandika free Palestine hakuna uhusiano na uungaji mkono Hamas!
Kusema au kuandika free Palestine hakuna uhusiano na uungaji mkono Hamas!Bado kuna changamoto ya upokeaji wako wa habari.Hamas ni Wapalestina. Kama Wapalestina wangekuwa wanajitenga na Hamas ningekunong'oneza.Cha ajabu,hata wakiambiwa wajitenge nao hawatii.Kipigo na mateso wakichanganywa na Hamas ni hitaji zuri la mioyo yao.Hiyo free Palestinians ni sawa tu na kuandika "Reside Hamas "!
Vema.Kawaondoe/kawatenganishe Wapalestina na Hamas.Kusema au kuandika free Palestine hakuna uhusiano na uungaji mkono Hamas!
Hivi Maghayo kashaamka kweli? ๐Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
๐จ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ธ FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Complaining.....kulalamika.Tumelijadili awali.Hebu tusaidi kuhusu neno ...they were complaining"...!Tafsiri kwa kiswahili ni nini hasa?
Haki yetu inaishhia kwenye tulichosoma na tafsiri yake tu.Tukianza "kudhani" hatufiki.Complaining.....kulalamika.
Lakini, maelezo yanasema walileta fujo. Sidhani kama waliishia kulalamika tu.
๐ ๐Anasema "mazayuni" makorofi.๐๐๐
Yeye hataki biashara na mashoga! Na uyo manager anaweza kua Mpalestina sio lazima awe Mtanzaniahuyo meneja wa hotel ni mpuuzi aelimishwe biashara yenye kuhitaji wateja mchanganyiko haiendeshwi kwa mihemko ya kushabikia magenge ya kigaidi/kisiasa/kidini na mengine mengi yawe huru. Biashara inataka uwe unavutia kila mteja, usiwaudhi wateja
Duh!Kwa hiyo kila mtalii akifika hapo hotelini anamwambia avue nguo na kuinama ili ampime?๐Yeye hataki biashara na mashoga! Na uyo manager anaweza kua Mpalestina sio lazima awe Mtanzania
Mkuu, maelezo yote yapo. Kuwa walilalamika na kuleta fujo. Sasa kama walileta fujo wangeachwa tu?Haki yetu inaishhia kwenye tulichosoma na tafsiri yake tu.Tukianza "kudhani" hatufiki.