Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

..."kazini kwako"...!Ofisi binafsi,ya chama au ya umma?Kama ni binafsi au ya chama ni sawa kuweka bendera.Lakini,kama inatumiwa na watu wote/umma,kuweka bendera za kisiasa ni upumbavu uliopitiliza viwango.
HALAFU;Kulikuwa na ulazima au umuhimu gani wa kuwafukuza hao watalii/wageni wa Kiizraeli kwa sababu ya kuuliza walichouliza tu?Hakukuwa na namna ya kuwaelewesha kuhusu uhuru wa kufanya mambo katika nchi(Zanzibar)bila kuvunja sheria?Hoja kuu ya kuwafukuza ni ipi?
Wamefukuzwa kwa sababu wameleta fujo.
 
Siungi mkono ushoga ni laana.Lakini mashoga sio tishio kwa maisha ya mru kama Hamas.Kuweka neno free Palestine mbele ya mu Israel si sahihi kwa hotel
Unachanga madawa mazee. Free Palestine na Hamas wapi na wapi! Wabongo tuna tatizo la kutotaka kusoma. Kizazi cha sasa hivi, (under 30 years) wengi hawajui undani wa mgogoro wa Israel vs Palestina. najua msimamo wa UN kuhusu huu mgogoro? Unajua msimamo wa nchi nyingi ikiwepo Tanzania?
 
Kusema au kuandika free Palestine hakuna uhusiano na uungaji mkono Hamas!
Bado kuna changamoto ya upokeaji wako wa habari.Hamas ni Wapalestina. Kama Wapalestina wangekuwa wanajitenga na Hamas ningekunong'oneza.Cha ajabu,hata wakiambiwa wajitenge nao hawatii.Kipigo na mateso wakichanganywa na Hamas ni hitaji zuri la mioyo yao.Hiyo free Palestinians ni sawa tu na kuandika "Reside Hamas "!
 
Bado kuna changamoto ya upokeaji wako wa habari.Hamas ni Wapalestina. Kama Wapalestina wangekuwa wanajitenga na Hamas ningekunong'oneza.Cha ajabu,hata wakiambiwa wajitenge nao hawatii.Kipigo na mateso wakichanganywa na Hamas ni hitaji zuri la mioyo yao.Hiyo free Palestinians ni sawa tu na kuandika "Reside Hamas "!
Kusema au kuandika free Palestine hakuna uhusiano na uungaji mkono Hamas!
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Hivi Maghayo kashaamka kweli? 😂
Cc adriz
 
Manager alijiongeza sana....Kwanza anajua kwa hao mayahudi kukaribia ktk hiyo Hotel yake ni hatari kwa usalama wa mali yake na wateja wake wasiokua mayahudi.... Ijulikane kua mayahud popote pale duniani wanatafutwa ndo maana wengi wao wanatumia passport za nchi nyingine wanapoenda baadhi ya nchi....Haingii akili kwa nchi km Zanzibar yenye Idadi kubwa ya waislamu eti waisrael wajione wako huru kiviile kwenda kutembea hasa ktk sakata hili la Gaz-Irael war na jingine la waajemi (Iran) na uku wakijua kabisa wanatafutwa.... Kwann wasiende nchi rafiki kwa usalama wao kwasasa na waje eneo lenye population ya waislam wengi...???
 
huyo meneja wa hotel ni mpuuzi aelimishwe biashara yenye kuhitaji wateja mchanganyiko haiendeshwi kwa mihemko ya kushabikia magenge ya kigaidi/kisiasa/kidini na mengine mengi yawe huru. Biashara inataka uwe unavutia kila mteja, usiwaudhi wateja
Yeye hataki biashara na mashoga! Na uyo manager anaweza kua Mpalestina sio lazima awe Mtanzania
 
Haki yetu inaishhia kwenye tulichosoma na tafsiri yake tu.Tukianza "kudhani" hatufiki.
Mkuu, maelezo yote yapo. Kuwa walilalamika na kuleta fujo. Sasa kama walileta fujo wangeachwa tu?
By the way, kilichowakwaza wao nini? Ingekuwa gari ya mteja mwenzao wangetaka iondolewe? Au kisa gari ya manager?
Supposedly, hiyo gari ni ya mtu mwingine tu tumfukuze kisa we unakwazika na maandishi yaliyo kwenye gari ya mtu?
 
Back
Top Bottom