Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Shida sio Stika, bali reaction ya Waisraeli yaani kwa sababu huipendi Yanga basi hadi mwenye hotel asiweke stika yake kwa kuipenda Team?Kama ni mwenye hoteli ndo hatari kabisa. Nchi inataka watalii wewe unaanzisha kampeni ambayo itahatarisha uwepo wao nchini? Bora hata awe meneja tutasema alipitiwa.
Yupo sahihi kwa asilimia 100% juu ya chombo chake cha usafiri.Hayupo sahihi. Hayupo sahihi kabisa. Ni sawa na refa wa mpira shabiki wa Yanga aje kuchezesha mechi na gari limeandikwa daima mbele mwiko nyuma.
Tuambie wewe Israel imeundwa mwaka gani kama taifa?Liars and good story-tellers!Achana nao hao.Mihuni hiyo!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ingekuwa mpalestina kalalamika kukuta gari ya anayemuhudumia ina stika "Israiel Allah is with you not them" ungeona ni sawa?Mtu kaegesha gari yake kwenye maegesho ya hoteli, wao yanawahusu nini?
Mbona Ulaya huko hawawaambii, wanafanya maandamano na ,mabango na magari na kila kitu, kila kukicha.
Hao mazayuni mmoja alijidai kuwasemea hovyo wasauzi kwenye maandamano yao ya kupinga mauwaji ya kimbari yanayofanywa Ghaza, kidogo wampe kichapo, polisi wakamwokoa.
Wasauzi hawataki ujinga.
Sticker ya kwenye gari inahatarisha vipi watalii ?Kama ni mwenye hoteli ndo hatari kabisa. Nchi inataka watalii wewe unaanzisha kampeni ambayo itahatarisha uwepo wao nchini? Bora hata awe meneja tutasema alipitiwa.
Unachanganya mifano yako unataka kuonesha Manager ana makosa wakati sio kweli.Hayupo sahihi. Hayupo sahihi kabisa. Ni sawa na refa wa mpira shabiki wa Yanga aje kuchezesha mechi na gari limeandikwa daima mbele mwiko nyuma.
Yupo sawa hata Israel kuna waislam pia nao wanautaifa wao wa Israel hivyo ni sahihi.Ingekuwa mpalestina kalalamika kukuta gari ya anayemuhudumia ina stika "Israiel Allah is with you not them" ungeona ni sawa?
Hayupo sahihi. Nikuulize, ukipata kazi ya kuhudumia nyama kwa wakristo na waislamu kwenye mkutano utaenda na lile shati lako lenye picha ya nguruwe na maneno nguruwe mtamu sababu ni shati lako?Yupo sahihi kwa asilimia 100% juu ya chombo chake cha usafiri.
Kuona yupo sahihi au hayupo sahihi inatofautiana na uwezo wa kutazama mambo.
Huyo si meneja ni mwanaharakati wa kipalestina.Unachanganya mifano yako unataka kuonesha Manager ana makosa wakati sio kweli.
Manager wa Hotel ni mtu mwenye Weledi mkubwa wa hiyo Biashara usitake kumfundisha hapa.
Hiyo sticker katika gari binafsi ina hatarisha vipi watalii ?Kabla hata ya kuzuiwa. Kama una akili timamu utajua kuwa kuweka ujumbe huo kutafurahisha aina fulani ya watalii na kutakasirisha aina nyingine ilihali wewe unawahitaji kuhudumia watalii wote kwa usawa
Wewe endelea kudanganywa.Mbona unaropoka kaka??
Palestina ilikubali 1947 kugawana ardhi na Israel,je ni Palestina aliyekataa 1948 UN kuitambua kimataifa!?
1948 Mataifa makubwa yalikataa kuitambua Palestina na walikua wakimuangaisha sana Yasser Arafat.
2005 Gaza imewekewa blockade je huo sio ukandamizaji??
Ramallah kila mwaka Israel hifadhili ubomoaji wa nyumba za wapalestina ili kupanua jewish settlements je huo sio ukandamizaji??
Acheni kuropoka bhana dunia inaelewa ukweli kuwa toka 1948 Palestina iko chini ya ukandamizaji.
Inawezekana wamefika hotelini wakaona gari wakafikiria kuna wanaharakati wa Hamas wamefikia hapo Hotelini, wakauliza wakaambiwa ni gari la meneja ndipo wakamueleza hofu yao na kutoridhika na hali hiyo.Mtu kaegesha gari yake kwenye maegesho ya hoteli, wao yanawahusu nini?
Mbona Ulaya huko hawawaambii, wanafanya maandamano na ,mabango na magari na kila kitu, kila kukicha.
Hao mazayuni mmoja alijidai kuwasemea hovyo wasauzi kwenye maandamano yao ya kupinga mauwaji ya kimbari yanayofanywa Ghaza, kidogo wampe kichapo, polisi wakamwokoa.
Wasauzi hawataki ujinga.
Sina shati la hivyo na hata kama ninalo la hivyo shati langu halitoi huduma.Hayupo sahihi. Nikuulize, ukipata kazi ya kuhudumia nyama kwa wakristo na waislamu kwenye mkutano utaenda na lile shati lako lenye picha ya nguruwe na maneno nguruwe mtamu sababu ni shati lako?
Hii haina afya kwa sekta ya utaliiZanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
๐จ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ธ FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Hilo ni gari lake binafsi hilo unapaswa kutambua.Huyo si meneja ni mwanaharakati wa kipalestina.
Hata hivyo,hii ni habari ya upande mmoja.Bado hatujui kilichojiri hasa ni kipi.Hapa tunatoa yetu bila "washtakiwa"!Mtu kaegesha gari yake kwenye maegesho ya hoteli, wao yanawahusu nini?
Mbona Ulaya huko hawawaambii, wanafanya maandamano na ,mabango na magari na kila kitu, kila kukicha.
Hao mazayuni mmoja alijidai kuwasemea hovyo wasauzi kwenye maandamano yao ya kupinga mauwaji ya kimbari yanayofanywa Ghaza, kidogo wampe kichapo, polisi wakamwokoa.
Wasauzi hawataki ujinga.
Ila hapo Unguja pana ujinga mwingi sana.Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
๐จ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ธ FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Unaweza ukanambia Waturuki nchi yao asili ipi!?Wewe endelea kudanganywa.
Lipo tangu miaka zaidi ya 3000 ila walilipa mipaka mipya miaka hiyo tajwa ya late 1940s.Tuambie wewe Israel imeundwa mwaka gani kama taifa?