Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ikifika wakati wa kujijadili Uturuki tutaijadili.Unaweza ukanambia Waturuki nchi yao asili ipi!?
👆👆👆👆
Mimi au wewe ndio hudanganywa!?
Jibu hilo swali lina mchango kwa mjadala wa Israel.Ikifika wakati wa kujijadili Uturuki tutaijadili.
Wathenge haoZanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
mara nyingi nimegombana na mameneja wapuuzi wasiojua customer care hufanywaje ili wateja waendelee kuja kwa wingi. Huo wingi ndio hela zenyewe. Ukifukuza mteja mmoja ataondoka na hela nyingi na kuwafanya wengine wasije hapo, biashara itadoda na mapato yatapunguaWatu wengi hawajui tofauti kati ya MENEJA wa biashara na MFANYABIASHARA. Wengi wanadhani meneja ni mfanyabiashara! Kumbe meneja yeye ni MSIMAMIZI wa biashara na wala sio MFANYABIASHARA, maana yeye hajawekeza chochote kwenye hiyo biashara. Ndio maana kwa meneja anaweza kuona kama kumpoteza mteja au kumfukuza ni sawa tu manake yeye mshahara wake uko pale pale. Ila nna uhakika kama mwenye hoteli angekuwepo eneo la tukio, hii kesi wala isingefika kwenye vyombo vya habari.
Liliitwaje?Lipo tangu miaka zaidi ya 3000 ila walilipa mipaka mipya miaka hiyo tajwa ya late 1940s.
Linaitwa Israeli na halikuwahi kufa.Lilikufa kifo fake mioyoni mwa watu kadhaa ukiwemo wewe.Liliitwaje?
Ilitokea nini taifa likafa?
Na taifa lilivyokufa walienda wapi na je waliondoka wote au wengine walibaki?
Wewe kama shabiki wa simba, siku ya mechi refa kaja na gari limeandikwa daima mbele na picha ya guede na kapaki sehemu ambayo unaliona hutahoji?Shida sio Stika, bali reaction ya Waisraeli yaani kwa sababu huipendi Yanga basi hadi mwenye hotel asiweke stika yake kwa kuipenda Team?
Huenda haikuhitaji kumtafuta, huyo ameweka stika ili ionekane na yeye ndo mtoa huduma, huenda walimuona wakapuuza kuja kushtuka ndiye mhudumu wao na passport zao zinaonyesha ni waisraeli na wanahudumiwa na mtu anayewaona ni maadui.Wao walitakiwa tu kuona Bango halijawafurahisha na pengine hata kubadili Hotel nyingine.....ila kitendo cha kumtafuta kumjua ni nani kinatia mashaka sana.
Hisia zako zisiondoe comfort ya wageni. Wageni wanapaswa kujisikia wapo salama nyumbani kwako. Yaani wewe umeenda nchi ya watu, Tanzania ina vita na nchi X sababu ya mpaka halafu aliyekupokea na kukuhudumia kavaa tshirt imeadikwa "Tanzania ishindwe dhidi ya X" utajisikia upo salama?Kidiplomasia ni kosa kutaka kuingilia Hisia za Watu wengine tena nyumbani kwao.
Umeandika ujinga wa viwango wa SGR. Eti ukiigusa Israel umeigusa Ulaya na kwahiyo wanaweza kuzuia Watalii kuja TZ! Wewe lazima utakuwa Msabato manake mawazo ya kitumwa kama hayo nayasikia sana kwa ndugu zangu wengine ambao na wenyewe ni Wasabato!Hiyo sasa ni Ant Semitism! Na inaonekana huenda kwa kujua ni Waisraeli,meneja amebandika stika hiyo ili kuwaudhi.Lakini hata kama walichukia wasingetimuliwa ndani ya Hotel.
Tuwe makini tusije kuharibu soko letu la Watalii.
Ukiigusa Israel umeigusa US,UK,umegusa nchi za jumuia ya Ulaya,EU!
Zinaweza kuzuia Watalii wasije.
Unaleta hoja mfu jibu kama msomi.Linaitwa Israeli na halikuwahi kufa.Lilikufa kifo fake mioyoni mwa watu kadhaa ukiwemo wewe.
Kwahiyo utalivaa na utaona ni sawa tu bila kujali uwepo wa waislamu ambao nao wanahitaji kupata huduma ya nyama kutoka kwako?shati langu halitoi huduma.
Imani ya dini gani inayokataza au kupinga uhuru wa taifa lingine? Tangu lini itikadi za nchi moja kukandimiza nchi nyingine zikawa ni itikadi za kuwa entertained?Hata kama ni gari binafsi la meneja naona atakuwa kakosea.Yeye ni meneja/individual. Sawa.Lakini,akumbuke amefika eneo la kazi ambalo anatakiwa ahudumie watu wenye imani,misimamo,itikadi na maono tofautitofauti. Kwa mfano,mteja Muizraeli akipatwa na dharula kiafya(au chochote)itakayohitaji apate usafiri,atakabali kutumia hilo gari kweli?Na tunajua watalii wengi Zanzibar siyo Wapalestina.Ni haohao "wazungu na waizraeli" anaowakwaza.
Kumbe unajua kama walifika Uropa?Wakitokea wapi?Unaleta hoja mfu jibu kama msomi.
Labda nikutolee mfano Persia(Iran) himaya yake iliwahi kufa na ikamezwa na waturuki.
Sasa na Israel taifa lao liliangukaje?
Basi sawa tuseme halijai kufa,je huko Ulaya walifikaje??
Walitokea Jerusalem.Kumbe unajua kama walifika Uropa?Wakitokea wapi?
Kwa hiyo ile ni hoteli au kituo cha wapigania "uhuru"?Imani ya dini gani inayokataza au kupinga uhuru wa taifa lingine? Tangu lini itikadi za nchi moja kukandimiza nchi nyingine zikawa ni itikadi za kuwa entertained?
Unauliza "leading questions " ambapo unataka nitoe jibu ulitakalo.😂Walitokea Jerusalem.
Vipi maswali yangu hujayajibu.