Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
The very beautiful comment! 🙏Zanzibar uchumi wake ni WA kihistoria unachangiwa pakubwa na mapato ya utalii
Raia wawe makini Sana kutumia biashara zao kama nyenzo za kueneza au kuonyesha itikadi zao. Hii ikienda viral itatuharibia. Wakati wa mwezi wao wajue Kuna wageni wasiofungamana na Imani hiyo hivyo hoteli za Umma zisifungwe na Wala wasijihusishe kabisa na watu wanaokula hadharani. Suala la Mavazi waachane kabisa na kujishughulisha na watu wamevaa nini, hata ukiona mtu mweusi usidhani ni Mtanzania wengi ni wageni waliotuletea fedha zao walizo save siku nyingi
Aisee leading questions au uhalisia?Unauliza "leading questions " ambapo unataka nitoe jibu ulitakalo.😂
Mimi sisimamii ushahidi wa hiyo website ndugu yangu ...ipo hivi mimi nasimamia sababu za kumfanya mtu amfukuze mteja wake ambae amefanya uwekezaji kwa ajili ya kupata wageni kama hao.....ikifika hatua mtu amfukuze basi kuna jambo kiakili unapaswa kuliona....kwa kuwa under normal circumstamnce mtu awezi kufukuza mteja wake labda awe amevuka mipaka ya kuvumiliwa au kuvunja utaratibu wa eneo husika. Alafu kwa biashara ya hotel kila mwekezaji huwa anatarget na aina fulani ya wateja au wageni ndio maana..zipo hotel zilizojibidiisha kwa culture ya watu fulani fulani zaidi....mfano unawezakuta ni italian culture ndio inapewa kipaumbele zaidi, au polish culture, indian na nyinginezo hivyo mgeni ukiona hupendezwi na taratibu ta hapo unaondoka na kwenda panapofanana na wewe...shida nini? Ni kukumbushe tu si kosa kisheria hapa kwetu Tanzania kwa mtu (individual) kuwa yeye mshabiki wa mlengo wa israel au hata palestina ni wewe tu...kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?huenda unakosa unga kichwani.
Yaani Website ambayo inaonyesha habari za Iran 🇮🇷 tena Habari ambazo zipo bias ije kutoa taarifa ya Habari za Zanzibar? Ilo kwako ni common sense ila mimi kuuliza nione video sababu maelezo ni wamelalamika lakini yeye kasema wamefanya fujo ndio sio common sense. Kwa nini wewe ambaye umetaka kutumia common sense haukutaka kuthibitisha kwamba habari ni ya kweli. Kwann wasafi wasiipost, Kwann ITV isipostiwe Kwann clouds isiwepo Kwann page ya millard isiwepo? Mimi kuulizia video sina akili ila wewe kuletewa taarifa na website ya nje iliyopost kuhusu znz na huwa ni Habari zipo bias una akili?
Ndiyo maana nakua tricky!Aisee leading questions au uhalisia?
Kama kuna ukakasi si unaeleza wapi kuna ukakasi?
Unless tunataka watalii kutoka nchi za kiarabu tu.Zanzibar uchumi wake ni WA kihistoria unachangiwa pakubwa na mapato ya utalii
Raia wawe makini Sana kutumia biashara zao kama nyenzo za kueneza au kuonyesha itikadi zao. Hii ikienda viral itatuharibia. Wakati wa mwezi wao wajue Kuna wageni wasiofungamana na Imani hiyo hivyo hoteli za Umma zisifungwe na Wala wasijihusishe kabisa na watu wanaokula hadharani. Suala la Mavazi waachane kabisa na kujishughulisha na watu wamevaa nini, hata ukiona mtu mweusi usidhani ni Mtanzania wengi ni wageni waliotuletea fedha zao walizo save siku nyingi
NitavaaKwahiyo utalivaa na utaona ni sawa tu bila kujali uwepo wa waislamu ambao nao wanahitaji kupata huduma ya nyama kutoka kwako?
Walitaka warudishiwe malipo,wakakataliwa.Mimi sisimamii ushahidi wa hiyo website ndugu yangu ...ipo hivi mimi nasimamia sababu za kumfanya mtu amfukuze mteja wake ambae amefanya uwekezaji kwa ajili ya kupata wageni kama hao.....ikifika hatua mtu amfukuze basi kuna jambo kiakili unapaswa kuliona....kwa kuwa under normal circumstamnce mtu awezi kufukuza mteja wake labda awe amevuka mipaka ya kuvumiliwa au kuvunja utaratibu wa eneo husika. Alafu kwa biashara ya hotel kila mwekezaji huwa anatarget na aina fulani ya wateja au wageni ndio maana..zipo hotel zilizojibidiisha kwa culture ya watu fulani fulani zaidi....mfano unawezakuta ni italian culture ndio inapewa kipaumbele zaidi, au polish culture, indian na nyinginezo hivyo mgeni ukiona hupendezwi na taratibu ta hapo unaondoka na kwenda panapofanana na wewe...shida nini? Ni kukumbushe tu si kosa kisheria hapa kwetu Tanzania kwa mtu (individual) kuwa yeye mshabiki wa mlengo wa israel au hata palestina ni wewe tu...kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?
Hapana. Katika hili utatengeneza tatizo kubwa sana iwapo hali itafikia hatua ya kwamba kuna hoteli team palestina na hoteli team Israel...kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?
Halafu waislamu watakuona kafiri usiye na akili na hawatahitaji huduma yako.Nitavaa
Tricky for what mkuu?Ndiyo maana nakua tricky!
ukipanda basi ambalo si sahihi nauli huwa hairudishi jiongeze..Walitaka warudishiwe malipo,wakakataliwa.
Inategemea na abiria mwenyewe.Mimi "muha"!😂😂😂ukipanda basi ambalo si sahihi nauli huwa hairudishi jiongeze..
Taifa linapaswa kupokea watalii wasio wendawazimu ili kuepukana na kadhia mbalimbali.Unless tunataka watalii kutoka nchi za kiarabu tu.
Halafu waislamu watakuona kafiri usiye na akili na hawatahitaji huduma yako.
Timu mnaleta ninyi katika mazingira ya kawaida watu kutofautiana tamaduni, mitazamo, dini, idikadi za kisiasa na mengineyo ..ni kawaida sana hivyo kama unaona hapafanani na wewe ondoka tu au jaribu kuwa na tolerance na utaratibu wa eneo husika..Hapana. Katika hili utatengeneza tatizo kubwa sana iwapo hali itafikia hatua ya kwamba kuna hoteli team palestina na hoteli team Israel.
Ndo yamewakuta sasa...Inategemea na abiria mwenyewe.Mimi "muha"!😂😂😂
Acha utumwa, kwani si kila mtu ana uhuru wake. Angefanyia Israel walikuwa na haki lakini sisi hatuna chuki na Palestina kwa nini wao watulazimishe kuwachukia.Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
Tangu lini suala la Free Palestine likawa ni suala la kiitikadi? Hivi suala la Palestina kuwa huru ni suala la kidini?! Nitajie itikadi moja inayohalalisha taifa moja kulikalia taifa lingine kimabavu kwa sababu yoyote ile. Kwanini uwa-entertain watu wanaoshabikia ukandamizaji kwa kigezo eti cha biashara? Hivi mtu anayekerwa hadi na bendera tena akiwa nchi za watu huoni tu kwamba hao ni wale ma-extremists? Hivi ulishawahi kujiuliza watu wa aina hiyo wanakuwa katika hali gani wanapokutana na hao wasiotaka wawe huru?Hii habari imekaa kishabiki kuliko uhalisia, upande wa pili sio habari za kushabikia ikiwa mnapenda kuongeza mapato ya kitalii.
Kama ni kweli kuna tukio kama hilo, suluhisho lilikuwa majadiliano na kulimaliza kidiplomasia.
Sio sahihi sana kuweka itikadi kwenye biashara.
Wao kuniona vile wapendavyo ni uhuru wao sawa nami kuwaona vile nipendavyo as long as hawaingilii uhuru wangu binafsi kama walivyofanya hao wendawazimu wa Tel Aviv.Halafu waislamu watakuona kafiri usiye na akili na hawatahitaji huduma yako.