Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar uchumi wake ni WA kihistoria unachangiwa pakubwa na mapato ya utalii

Raia wawe makini Sana kutumia biashara zao kama nyenzo za kueneza au kuonyesha itikadi zao. Hii ikienda viral itatuharibia. Wakati wa mwezi wao wajue Kuna wageni wasiofungamana na Imani hiyo hivyo hoteli za Umma zisifungwe na Wala wasijihusishe kabisa na watu wanaokula hadharani. Suala la Mavazi waachane kabisa na kujishughulisha na watu wamevaa nini, hata ukiona mtu mweusi usidhani ni Mtanzania wengi ni wageni waliotuletea fedha zao walizo save siku nyingi
The very beautiful comment! 🙏
 
Unauliza "leading questions " ambapo unataka nitoe jibu ulitakalo.😂
Aisee leading questions au uhalisia?
Kama kuna ukakasi si unaeleza wapi kuna ukakasi?
Basi sawa wacha niulize swali jepesi.
Kipindi ardhi inagawanywa kuunda Paletina na Israel 1947 baada ya wayahudi wa Jerusalem kufeli kufanya mapinduzi 1946, je Palestina ilikataa kuitambua Israel??
 
huenda unakosa unga kichwani.
Yaani Website ambayo inaonyesha habari za Iran 🇮🇷 tena Habari ambazo zipo bias ije kutoa taarifa ya Habari za Zanzibar? Ilo kwako ni common sense ila mimi kuuliza nione video sababu maelezo ni wamelalamika lakini yeye kasema wamefanya fujo ndio sio common sense. Kwa nini wewe ambaye umetaka kutumia common sense haukutaka kuthibitisha kwamba habari ni ya kweli. Kwann wasafi wasiipost, Kwann ITV isipostiwe Kwann clouds isiwepo Kwann page ya millard isiwepo? Mimi kuulizia video sina akili ila wewe kuletewa taarifa na website ya nje iliyopost kuhusu znz na huwa ni Habari zipo bias una akili?
Mimi sisimamii ushahidi wa hiyo website ndugu yangu ...ipo hivi mimi nasimamia sababu za kumfanya mtu amfukuze mteja wake ambae amefanya uwekezaji kwa ajili ya kupata wageni kama hao.....ikifika hatua mtu amfukuze basi kuna jambo kiakili unapaswa kuliona....kwa kuwa under normal circumstamnce mtu awezi kufukuza mteja wake labda awe amevuka mipaka ya kuvumiliwa au kuvunja utaratibu wa eneo husika. Alafu kwa biashara ya hotel kila mwekezaji huwa anatarget na aina fulani ya wateja au wageni ndio maana..zipo hotel zilizojibidiisha kwa culture ya watu fulani fulani zaidi....mfano unawezakuta ni italian culture ndio inapewa kipaumbele zaidi, au polish culture, indian na nyinginezo hivyo mgeni ukiona hupendezwi na taratibu ta hapo unaondoka na kwenda panapofanana na wewe...shida nini? Ni kukumbushe tu si kosa kisheria hapa kwetu Tanzania kwa mtu (individual) kuwa yeye mshabiki wa mlengo wa israel au hata palestina ni wewe tu...kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?
 
Zanzibar uchumi wake ni WA kihistoria unachangiwa pakubwa na mapato ya utalii

Raia wawe makini Sana kutumia biashara zao kama nyenzo za kueneza au kuonyesha itikadi zao. Hii ikienda viral itatuharibia. Wakati wa mwezi wao wajue Kuna wageni wasiofungamana na Imani hiyo hivyo hoteli za Umma zisifungwe na Wala wasijihusishe kabisa na watu wanaokula hadharani. Suala la Mavazi waachane kabisa na kujishughulisha na watu wamevaa nini, hata ukiona mtu mweusi usidhani ni Mtanzania wengi ni wageni waliotuletea fedha zao walizo save siku nyingi
Unless tunataka watalii kutoka nchi za kiarabu tu.
 
Mimi sisimamii ushahidi wa hiyo website ndugu yangu ...ipo hivi mimi nasimamia sababu za kumfanya mtu amfukuze mteja wake ambae amefanya uwekezaji kwa ajili ya kupata wageni kama hao.....ikifika hatua mtu amfukuze basi kuna jambo kiakili unapaswa kuliona....kwa kuwa under normal circumstamnce mtu awezi kufukuza mteja wake labda awe amevuka mipaka ya kuvumiliwa au kuvunja utaratibu wa eneo husika. Alafu kwa biashara ya hotel kila mwekezaji huwa anatarget na aina fulani ya wateja au wageni ndio maana..zipo hotel zilizojibidiisha kwa culture ya watu fulani fulani zaidi....mfano unawezakuta ni italian culture ndio inapewa kipaumbele zaidi, au polish culture, indian na nyinginezo hivyo mgeni ukiona hupendezwi na taratibu ta hapo unaondoka na kwenda panapofanana na wewe...shida nini? Ni kukumbushe tu si kosa kisheria hapa kwetu Tanzania kwa mtu (individual) kuwa yeye mshabiki wa mlengo wa israel au hata palestina ni wewe tu...kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?
Walitaka warudishiwe malipo,wakakataliwa.
 
..kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?
Hapana. Katika hili utatengeneza tatizo kubwa sana iwapo hali itafikia hatua ya kwamba kuna hoteli team palestina na hoteli team Israel.
 
Unless tunataka watalii kutoka nchi za kiarabu tu.
Taifa linapaswa kupokea watalii wasio wendawazimu ili kuepukana na kadhia mbalimbali.

Ni vyema viwanja vya ndege viwe vinapima kwanza akili watalii kabla ya kuwa ruhusu kuingia nchini vichaa dunia hii wanazidi kuwa wengi.
 
Je wakija DAR wakikutana na hilo hapo nje ya Airport watasemaje?
 
Attachments

  • 20240406_085414.jpg
    20240406_085414.jpg
    1.1 MB · Views: 1
Hapana. Katika hili utatengeneza tatizo kubwa sana iwapo hali itafikia hatua ya kwamba kuna hoteli team palestina na hoteli team Israel.
Timu mnaleta ninyi katika mazingira ya kawaida watu kutofautiana tamaduni, mitazamo, dini, idikadi za kisiasa na mengineyo ..ni kawaida sana hivyo kama unaona hapafanani na wewe ondoka tu au jaribu kuwa na tolerance na utaratibu wa eneo husika..
 
Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
Acha utumwa, kwani si kila mtu ana uhuru wake. Angefanyia Israel walikuwa na haki lakini sisi hatuna chuki na Palestina kwa nini wao watulazimishe kuwachukia.
 
Hii habari imekaa kishabiki kuliko uhalisia, upande wa pili sio habari za kushabikia ikiwa mnapenda kuongeza mapato ya kitalii.
Kama ni kweli kuna tukio kama hilo, suluhisho lilikuwa majadiliano na kulimaliza kidiplomasia.
Sio sahihi sana kuweka itikadi kwenye biashara.
Tangu lini suala la Free Palestine likawa ni suala la kiitikadi? Hivi suala la Palestina kuwa huru ni suala la kidini?! Nitajie itikadi moja inayohalalisha taifa moja kulikalia taifa lingine kimabavu kwa sababu yoyote ile. Kwanini uwa-entertain watu wanaoshabikia ukandamizaji kwa kigezo eti cha biashara? Hivi mtu anayekerwa hadi na bendera tena akiwa nchi za watu huoni tu kwamba hao ni wale ma-extremists? Hivi ulishawahi kujiuliza watu wa aina hiyo wanakuwa katika hali gani wanapokutana na hao wasiotaka wawe huru?

Kwa taarifa yako, hao ndo wale wanaitwa Zionists, contrary to any Jew. Kwa upande wa pili, hao wala hawana tofauti na Wafuasi wa akina Osama Bin Laden au Bokko Harama. Kinachowatofautisha na wale wa upande wa pili, wale hawaoni taabu kujilipua wakati hawa bado wanaipenda dunia lakini wote ni magaidi tu, na kule kwao hawachagui Mwislam, Mkristo, Mwarabu au Mpalestina; as long as wewe sio Myahudi by faith, then you're nothing mbele yao.
 
Halafu waislamu watakuona kafiri usiye na akili na hawatahitaji huduma yako.
Wao kuniona vile wapendavyo ni uhuru wao sawa nami kuwaona vile nipendavyo as long as hawaingilii uhuru wangu binafsi kama walivyofanya hao wendawazimu wa Tel Aviv.

Nami siwalazimishi kupokea huduma yangu wanaweza kwenda panapo wafaa.
 
Back
Top Bottom