Mimi sisimamii ushahidi wa hiyo website ndugu yangu ...ipo hivi mimi nasimamia sababu za kumfanya mtu amfukuze mteja wake ambae amefanya uwekezaji kwa ajili ya kupata wageni kama hao.....ikifika hatua mtu amfukuze basi kuna jambo kiakili unapaswa kuliona....kwa kuwa under normal circumstamnce mtu awezi kufukuza mteja wake labda awe amevuka mipaka ya kuvumiliwa au kuvunja utaratibu wa eneo husika. Alafu kwa biashara ya hotel kila mwekezaji huwa anatarget na aina fulani ya wateja au wageni ndio maana..zipo hotel zilizojibidiisha kwa culture ya watu fulani fulani zaidi....mfano unawezakuta ni italian culture ndio inapewa kipaumbele zaidi, au polish culture, indian na nyinginezo hivyo mgeni ukiona hupendezwi na taratibu ta hapo unaondoka na kwenda panapofanana na wewe...shida nini? Ni kukumbushe tu si kosa kisheria hapa kwetu Tanzania kwa mtu (individual) kuwa yeye mshabiki wa mlengo wa israel au hata palestina ni wewe tu...kama mgeni akiona hotel hii wanasupport palestina ondoka nenda kwa wanaosupport Israel ..mbona wapo wengi tu...shida nini?