Ukisoma comments unaona kuna shida sehemu, mtu anafananisha Maandamano ya Ushoga Ulaya na biashara ya hoteli Zanzibar. DahNdugu yangu we, sioni kosa la meneja wa hotel. Ulaya na dunia yote kuna maandamano na kelele nyingi za kutaka Israel iache kukandamiza wapelestina. By the way mbona maandishi na kampeni za kuunga mkono ushoga zimewekwa kila mahali kwenye hotel kubwa majuu? Unafikiri mtu mwenye msimamo tofauti ukienda pale na kuhoji watakuchekea?
Sasa Meneja ameweka Stika ya Kupinga Taifa la Israel au ameweka Stika ya ku-advocate Uhuru wa Palestina?! Hivi kuna mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza KUPINGA uhuru wa taifa lingine? Ni mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza kuona mtu anaye-advocate uhuru wa taifa lingine huyo anakuwa amefanya kosa na kwahiyo anastahili kuhojiwa kwanini ana-advocate uhuru wa taifa lingine?Hilo sijui mkuu. Ninachojua nchi inahitaji watalii na tunawahudumia kwa usawa. Zanzibar inapokea hadi mashoga ya kizungu na inayapa huduma na meneja haweki stika za kupinga ushoga kwenye gari yake.
hoja ipi?Ushanielewa suala lililobaki ni kuikubali hoja si kuelewa.
Huo uchawa umeuona wewe kwa urefu wa fikra zako.MM sisemi wapalestina wanahaki ya kinachowakuta. Siongozwi na mihemko ya kidini. Ninachosema ni meneja kuwa chawa wa palestina kwa wateja wa kiisrael si sawa.
Hapo ndo mnapokosea. Kwanini useme huongozwi na mihemeuko ya kidini? Ina maana suala la uhuru wa Palestina ni la kidini? Na kama ni suala la kidini, dini ipi inayounga mkono taifa moja kukandamiza taifa lingine? Au ni hadi nikukumbushe wakati Tanzania ni Tanzania kweli tulivunja ushirikiano na Afrika Kusini, Israel, na Morocco kwa sababu tu mataifa hayo yalikuwa yanakandamiza mataifa mengine yanayotambulika na sheria za kimataifa?MM sisemi wapalestina wanahaki ya kinachowakuta. Siongozwi na mihemko ya kidini. Ninachosema ni meneja kuwa chawa wa palestina kwa wateja wa kiisrael si sawa.
Binadamu tunaongozwa na utashi na kuvumiliana sio ubabe. Ubane ni porini huko kwa kina chatu na mamba. Msikiti unaweza vumilika kwa hazana ya dk kadhaa kuita wahusika wafanye ibada ila ikiwa ni siku nzima kelele lazima pawe na malalamiko.Hakuna ujinga kwenye miliki ya kiwanja chake unless wewe ndie mjinga mwenyewe uliyekubuhu kwa sababu naye anaweza kuona msikiti unamleta makele kwake.
Sawa.Upo sahihi
Mkuu hadi wewe unakuja na hoja dhaifu namna hii? Mtu anayetaka kulipiza kisasi aje na gari lenye bendera kabisa hotelini?Bendera imebandikwa juu ya gari na sio kwenye vizimba au kuta za hoteli...
Kwa muisrael yeyote ambaye yupo ugenini lazima awe concerned kwenye situation kama hiyo, what if ni gari la Wapalestina kweli nao wapo hapo hotelini kwa nia ya kulipiza kisasi?
Hao watalii wameuliza tu ili kuhakikishiwa usalama wao, soma vizuri hii habari...
Mengi tu hata elimuTatizo lipo. Ni mambo gani hayo unayozungumzia?
We msichana una akili sana!Tatizo mnaweka hisia zenu za kidini katika hili, post yako kabla ya hii inajieleza kuhusu wewe.
Hivi unafikiri meneja wa hoteli ni mjinga awafukuze watu waliolipia siku nyingi bila refund? Acha tu kuwatimua, hukusoma walienda kufanya fujo mapokezi kwa kulalamikia hilo gari lenye bendera za Palestina?
Ifikie wakati kama binadamu tujifunze ustaarabu na kukubaliana na mawazo huru, kila mmoja ana uhuru wa kuamini anachotaka na ikiwa tofauti na wewe sio vita.
Wewe jifiche tu lakini ukweli unaingiza udini! Kumbuka kwenye post ya kwanza niliyoku-quote nilikuuliza how come suala la uhuru wa nchi moja liwe ni suala la kiitikadi? Na kama ni itikadi kwanini itikadi ya kikandamizaji iwe entertained? Umewshindwa kujibu hayo masuali kwa sababu kimsingi, umechukulia suala la uhuru wa Palestina ni suala la Kidini wakati ni Uhuni tu unaowafanywa na Jew Extremists.Mambo ya ukristo umeyaandika wewe dugu yangu veve!Hiyo ni hoteli na inapaswa kuwa strictly for businesses. Siyo kuanzisha harakati za kisiasa hotelini!Mind you,big fella!
Wewe hutaki kuvumilia wenzako ila unalazimisha kuvumiliwa.Binadamu tunaongozwa na utashi na kuvumiliana sio ubabe. Ubane ni porini huko kwa kina chatu na mamba. Msikiti unaweza vumilika kwa hazana ya dk kadhaa kuita wahusika wafanye ibada ila ikiwa ni siku nzima kelele lazima pawe na malalamiko.
hili ni tatizo la management kutoa huduma kwa namna ya kutojali wateja ambao ndio wapewa huduma na wenye kustahili kutobaguliwa haipaswi mfanyakazi wa hotel ama sehemu yeyote inayotoa huduma kuonyesha udhaifu wa kiimani zaidi ya imani kwenye kazi maswala ya ushabiki wa pro-palestinian ama pro-Israel unapaswa uachwe nje ya gate la kuingilia kwenye huduma husika,hii ni ili kuepukana na kumkwaza mteja unayempa huduma.Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
Kwanini awe concerned? Wangekuwa sahihi endapo hiyo stika ingekuwa INAPINGA Taifa la Israel lakini ni stika inayo-advocate uhuru wa taifa lingine! Yaani wawe concerned kwa maana hawataki kusikia uhuru wa taifa linalotambulika na sheria za kimataifa? Na kama hawataki kusikia jambo kama hilo, sasa wana tofauti gani na wale Wayahudi waliowekewa vikwazo hadi ni Mjomba yao Marekani?Bendera imebandikwa juu ya gari na sio kwenye vizimba au kuta za hoteli...
Kwa muisrael yeyote ambaye yupo ugenini lazima awe concerned kwenye situation kama hiyo, what if ni gari la Wapalestina kweli nao wapo hapo hotelini kwa nia ya kulipiza kisasi?
Hao watalii wameuliza tu ili kuhakikishiwa usalama wao, soma vizuri hii habari...
Huyo hajafanya kosa kuamini kuwa wapalestina wanatakiwa kupewa uhuru. Kosa lake ni kuwaonyesha waisraeli kuwa yeye ni adui kwao japokuwa anawahudumia.Sasa Meneja ameweka Stika ya Kupinga Taifa la Israel au ameweka Stika ya ku-advocate Uhuru wa Palestina?! Hivi kuna mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza KUPINGA uhuru wa taifa lingine? Ni mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza kuona mtu anaye-advocate uhuru wa taifa lingine huyo anakuwa amefanya kosa na kwahiyo anastahili kuhojiwa kwanini ana-advocate uhuru wa taifa lingine?
Mimi nilijikita kwenye watalii.Wewe ukawa unataka uniongoze kwenye muelekeo wa dini.Nikakukimbia.We msichana una akili sana!
Wewe jifiche tu lakini ukweli unaingiza udini! Kumbuka kwenye post ya kwanza niliyoku-quote nilikuuliza how come suala la uhuru wa nchi moja liwe ni suala la kiitikadi? Na kama ni itikadi kwanini itikadi ya kikandamizaji iwe entertained? Umewshindwa kujibu hayo masuali kwa sababu kimsingi, umechukulia suala la uhuru wa Palestina ni suala la Kidini wakati ni Uhuni tu unaowafanywa na Jew Extremists.
Too general boss.Mengi tu hata elimu
Mwendawazimu ni meneja anayempokea muisraeli ili ambandikie matangazo kuwa mie adui yako.Wewe hutaki kuvumilia wenzako ila unalazimishwa kuvumiliwa.
Wewe ni mwendawazimu kama hao waisrael nao wana tabia hizo hizo.
Kwanini awe concerned? Wangekuwa sahihi endapo hiyo stika ingekuwa INAPINGA Taifa la Israel lakini ni stika inayo-advocate uhuru wa taifa lingine! Yaani wawe concerned kwa maana hawataki kusikia uhuru wa taifa linalotambulika na sheria za kimataifa? Na kama hawataki kusikia jambo kama hilo, sasa wana tofauti gani na wale Wayahudi waliowekewa vikwazo hadi ni Mjomba yao Marekani?
"they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Hivi kwanini mnahusisha hili suala na mambo ya imani?! Tangu lini suala la uhuru wa nchi moja likawa ni suala la kiimani?! Tangu lini suala la ku-advocate uhuru wa taifa lingine likawa nisuala la kiimani?Hivi Stika inapinga Uyahudi ama au ina-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za kimataifa?!hili ni tatizo la management kutoa huduma kwa namna ya kutojali wateja ambao ndio wapewa huduma na wenye kustahili kutobaguliwa haipaswi mfanyakazi wa hotel ama sehemu yeyote inayotoa huduma kuonyesha udhaifu wa kiimani zaidi ya imani kwenye mbadilisha huyo manager kwa maoni yangu ni kwamba hafai huyo.