Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Ndugu yangu we, sioni kosa la meneja wa hotel. Ulaya na dunia yote kuna maandamano na kelele nyingi za kutaka Israel iache kukandamiza wapelestina. By the way mbona maandishi na kampeni za kuunga mkono ushoga zimewekwa kila mahali kwenye hotel kubwa majuu? Unafikiri mtu mwenye msimamo tofauti ukienda pale na kuhoji watakuchekea?
Ukisoma comments unaona kuna shida sehemu, mtu anafananisha Maandamano ya Ushoga Ulaya na biashara ya hoteli Zanzibar. Dah
 
Hilo sijui mkuu. Ninachojua nchi inahitaji watalii na tunawahudumia kwa usawa. Zanzibar inapokea hadi mashoga ya kizungu na inayapa huduma na meneja haweki stika za kupinga ushoga kwenye gari yake.
Sasa Meneja ameweka Stika ya Kupinga Taifa la Israel au ameweka Stika ya ku-advocate Uhuru wa Palestina?! Hivi kuna mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza KUPINGA uhuru wa taifa lingine? Ni mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza kuona mtu anaye-advocate uhuru wa taifa lingine huyo anakuwa amefanya kosa na kwahiyo anastahili kuhojiwa kwanini ana-advocate uhuru wa taifa lingine?
 
MM sisemi wapalestina wanahaki ya kinachowakuta. Siongozwi na mihemko ya kidini. Ninachosema ni meneja kuwa chawa wa palestina kwa wateja wa kiisrael si sawa.
Huo uchawa umeuona wewe kwa urefu wa fikra zako.

Upo sahihi
 
MM sisemi wapalestina wanahaki ya kinachowakuta. Siongozwi na mihemko ya kidini. Ninachosema ni meneja kuwa chawa wa palestina kwa wateja wa kiisrael si sawa.
Hapo ndo mnapokosea. Kwanini useme huongozwi na mihemeuko ya kidini? Ina maana suala la uhuru wa Palestina ni la kidini? Na kama ni suala la kidini, dini ipi inayounga mkono taifa moja kukandamiza taifa lingine? Au ni hadi nikukumbushe wakati Tanzania ni Tanzania kweli tulivunja ushirikiano na Afrika Kusini, Israel, na Morocco kwa sababu tu mataifa hayo yalikuwa yanakandamiza mataifa mengine yanayotambulika na sheria za kimataifa?
 
Hakuna ujinga kwenye miliki ya kiwanja chake unless wewe ndie mjinga mwenyewe uliyekubuhu kwa sababu naye anaweza kuona msikiti unamleta makele kwake.
Binadamu tunaongozwa na utashi na kuvumiliana sio ubabe. Ubane ni porini huko kwa kina chatu na mamba. Msikiti unaweza vumilika kwa hazana ya dk kadhaa kuita wahusika wafanye ibada ila ikiwa ni siku nzima kelele lazima pawe na malalamiko.
 
Bendera imebandikwa juu ya gari na sio kwenye vizimba au kuta za hoteli...

Kwa muisrael yeyote ambaye yupo ugenini lazima awe concerned kwenye situation kama hiyo, what if ni gari la Wapalestina kweli nao wapo hapo hotelini kwa nia ya kulipiza kisasi?

Hao watalii wameuliza tu ili kuhakikishiwa usalama wao, soma vizuri hii habari...
Mkuu hadi wewe unakuja na hoja dhaifu namna hii? Mtu anayetaka kulipiza kisasi aje na gari lenye bendera kabisa hotelini?
Hizi ni akili za wapi?

Yani watu waulize tu juu ya usalama wao wafukuzwe hotelini?
 
Zanzibar wana ushamba hawa ambao hawana visogo n useless kwenye thinking
 
Tatizo mnaweka hisia zenu za kidini katika hili, post yako kabla ya hii inajieleza kuhusu wewe.

Hivi unafikiri meneja wa hoteli ni mjinga awafukuze watu waliolipia siku nyingi bila refund? Acha tu kuwatimua, hukusoma walienda kufanya fujo mapokezi kwa kulalamikia hilo gari lenye bendera za Palestina?

Ifikie wakati kama binadamu tujifunze ustaarabu na kukubaliana na mawazo huru, kila mmoja ana uhuru wa kuamini anachotaka na ikiwa tofauti na wewe sio vita.
We msichana una akili sana!
Mambo ya ukristo umeyaandika wewe dugu yangu veve!Hiyo ni hoteli na inapaswa kuwa strictly for businesses. Siyo kuanzisha harakati za kisiasa hotelini!Mind you,big fella!
Wewe jifiche tu lakini ukweli unaingiza udini! Kumbuka kwenye post ya kwanza niliyoku-quote nilikuuliza how come suala la uhuru wa nchi moja liwe ni suala la kiitikadi? Na kama ni itikadi kwanini itikadi ya kikandamizaji iwe entertained? Umewshindwa kujibu hayo masuali kwa sababu kimsingi, umechukulia suala la uhuru wa Palestina ni suala la Kidini wakati ni Uhuni tu unaowafanywa na Jew Extremists.
 
Binadamu tunaongozwa na utashi na kuvumiliana sio ubabe. Ubane ni porini huko kwa kina chatu na mamba. Msikiti unaweza vumilika kwa hazana ya dk kadhaa kuita wahusika wafanye ibada ila ikiwa ni siku nzima kelele lazima pawe na malalamiko.
Wewe hutaki kuvumilia wenzako ila unalazimisha kuvumiliwa.

Wewe ni mwendawazimu kama hao waisrael nao wana tabia hizo hizo.
 
Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
hili ni tatizo la management kutoa huduma kwa namna ya kutojali wateja ambao ndio wapewa huduma na wenye kustahili kutobaguliwa haipaswi mfanyakazi wa hotel ama sehemu yeyote inayotoa huduma kuonyesha udhaifu wa kiimani zaidi ya imani kwenye kazi maswala ya ushabiki wa pro-palestinian ama pro-Israel unapaswa uachwe nje ya gate la kuingilia kwenye huduma husika,hii ni ili kuepukana na kumkwaza mteja unayempa huduma.
kwa sababu ya hili ninashauri mahotel mengine na hata sehemu nyingine zinazohudumia watalii hili liwe ni somo ambalo wote wanapaswa kujifunza na kuwaelewesha staff namna gani bora ya kum-accommodate mgeni na ndiyo maana hata sehemu za kazi kama hizi kunakuwepo na mavazi rasmi ya kazi ili yawe yamepitishwa na management kwa maana kuhakikisha kwamba hayawi ni sehemu ya kumvunjia mtu/mgeni starehe.
mwisho wa siku hiyo hotel inapaswa kuwaomba msamaha wateja wao na hata ikiwezekana kumbadilisha huyo manager kwa maoni yangu ni kwamba hafai huyo.
 
Bendera imebandikwa juu ya gari na sio kwenye vizimba au kuta za hoteli...

Kwa muisrael yeyote ambaye yupo ugenini lazima awe concerned kwenye situation kama hiyo, what if ni gari la Wapalestina kweli nao wapo hapo hotelini kwa nia ya kulipiza kisasi?

Hao watalii wameuliza tu ili kuhakikishiwa usalama wao, soma vizuri hii habari...
Kwanini awe concerned? Wangekuwa sahihi endapo hiyo stika ingekuwa INAPINGA Taifa la Israel lakini ni stika inayo-advocate uhuru wa taifa lingine! Yaani wawe concerned kwa maana hawataki kusikia uhuru wa taifa linalotambulika na sheria za kimataifa? Na kama hawataki kusikia jambo kama hilo, sasa wana tofauti gani na wale Wayahudi waliowekewa vikwazo hadi ni Mjomba yao Marekani?
 
Sasa Meneja ameweka Stika ya Kupinga Taifa la Israel au ameweka Stika ya ku-advocate Uhuru wa Palestina?! Hivi kuna mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza KUPINGA uhuru wa taifa lingine? Ni mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza kuona mtu anaye-advocate uhuru wa taifa lingine huyo anakuwa amefanya kosa na kwahiyo anastahili kuhojiwa kwanini ana-advocate uhuru wa taifa lingine?
Huyo hajafanya kosa kuamini kuwa wapalestina wanatakiwa kupewa uhuru. Kosa lake ni kuwaonyesha waisraeli kuwa yeye ni adui kwao japokuwa anawahudumia.

Muisraeli na Mpalestina wapo vitani, Sasa kwao adui ni adui bila kujali huyu ni adui wa stika za kwenye magari tu au anaweza kukuua. Meneja hakuwa sawa kuwaonyesha Israeli kuwa yeye ni adui.
 
We msichana una akili sana!

Wewe jifiche tu lakini ukweli unaingiza udini! Kumbuka kwenye post ya kwanza niliyoku-quote nilikuuliza how come suala la uhuru wa nchi moja liwe ni suala la kiitikadi? Na kama ni itikadi kwanini itikadi ya kikandamizaji iwe entertained? Umewshindwa kujibu hayo masuali kwa sababu kimsingi, umechukulia suala la uhuru wa Palestina ni suala la Kidini wakati ni Uhuni tu unaowafanywa na Jew Extremists.
Mimi nilijikita kwenye watalii.Wewe ukawa unataka uniongoze kwenye muelekeo wa dini.Nikakukimbia.
 
Wewe hutaki kuvumilia wenzako ila unalazimishwa kuvumiliwa.

Wewe ni mwendawazimu kama hao waisrael nao wana tabia hizo hizo.
Mwendawazimu ni meneja anayempokea muisraeli ili ambandikie matangazo kuwa mie adui yako.
 
Kwanini awe concerned? Wangekuwa sahihi endapo hiyo stika ingekuwa INAPINGA Taifa la Israel lakini ni stika inayo-advocate uhuru wa taifa lingine! Yaani wawe concerned kwa maana hawataki kusikia uhuru wa taifa linalotambulika na sheria za kimataifa? Na kama hawataki kusikia jambo kama hilo, sasa wana tofauti gani na wale Wayahudi waliowekewa vikwazo hadi ni Mjomba yao Marekani?

Yes ni bendera inayotetea uhuru wa Palestina hilo halina shida...

Nawaelewa hao Wayahudi kwamba wapo concerned kwa sababu hawajui itikadi ya mbandika sticker hiyo ni kali kiasi gani...

Sijaona mahali kwenye hii habari kama waling'ang'ania bendera itolewe au gari isiwepo hapo, bali imeandikwa kwamba
"they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."

Hata ungelikuwa ni wewe, usingejilaza kichwa kichwa tu mahali ambapo unaona kuna red flags zinazoweza hatatisha uhai wako...

Wayahudi na Wapalestina wana uadui mzee, ni watu wa kuviziana...
 
hili ni tatizo la management kutoa huduma kwa namna ya kutojali wateja ambao ndio wapewa huduma na wenye kustahili kutobaguliwa haipaswi mfanyakazi wa hotel ama sehemu yeyote inayotoa huduma kuonyesha udhaifu wa kiimani zaidi ya imani kwenye mbadilisha huyo manager kwa maoni yangu ni kwamba hafai huyo.
Hivi kwanini mnahusisha hili suala na mambo ya imani?! Tangu lini suala la uhuru wa nchi moja likawa ni suala la kiimani?! Tangu lini suala la ku-advocate uhuru wa taifa lingine likawa nisuala la kiimani?Hivi Stika inapinga Uyahudi ama au ina-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za kimataifa?!

Ni GAIDI pekee ndio haliwezi kupendezwa na watu wanao-advocate uhuru wa taifa lingine, na kwa upande wa Israel, hao Magaidi wanaitwa Zionists au Jew Extgremists. Myahudi wa kawaida hawezi kukerwa na stika ya Free Palestine, NEVER.
 
Back
Top Bottom