Ukisoma comments unaona kuna shida sehemu, mtu anafananisha Maandamano ya Ushoga Ulaya na biashara ya hoteli Zanzibar. DahNdugu yangu we, sioni kosa la meneja wa hotel. Ulaya na dunia yote kuna maandamano na kelele nyingi za kutaka Israel iache kukandamiza wapelestina. By the way mbona maandishi na kampeni za kuunga mkono ushoga zimewekwa kila mahali kwenye hotel kubwa majuu? Unafikiri mtu mwenye msimamo tofauti ukienda pale na kuhoji watakuchekea?