Hakuna lolote zaidi ya kuwatimua.Tunajua vita kali iliyopo baina ya Israel na HAMAS kwa mgongo wa Palestine.
Mtalii anapoingia hotelini na kukuta gari limeandikwa Free Palestine, lazima aweke usalama wake katika hali ya kujiuliza.
Mtu anayeweka mpakaa sticker ya kulitetea kundi fulani, tena akiwa kiongozi wa ngazi ya juu katika hoteli hiyo, anaweza kufanya jambo la hatari kwa watu wa taifa hasimu na analolishabikia.
Tena mtu huyo akiwa Muislamu, wanaongozwa na hisia za kipuuzi badala ya akili.
Ulichokiandika maana yake ni;-Hujakomboka bado kifikra.
Bado ni mtumwa wa kifedha.
Hiyo ni gari binafsi ya meneja. Sio ya ofisiNa gari lenyewe ndiyo hilo meneja kaliandika slogans!Muizraeli hapandi hilo gari.Over his/her dead body!
Kuna mtu aliwaita waje?Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Hakuna ufafanuzi walioutoa.Tuache hilo mabanoni hadi watoe maelezo ya kina.Hayo malalamiko yawezekana yaliambatana na vitendo vya hovyo ndiyo maana ikachukuliwa kama fujo.
Wangeenda ofisi kulalamika kiustaarabu bila kushout wasingekufuzwa. Au wangepiga namba za simu kwa boss moja kwa moja
Moja ya point yake hapa hapa kwenye mjadala huu nimegundua exposure yake ni ndogo sanaBora niwe mpumbavu mwenye akili kuliko kuwa mjanja asiye na akili kama wewe. Wewe comments zako nyingi za hapa JF zinaonyesha wewe huna exposure na ni matokeo ya hizi elimu za kata.
Ngoja nikuulize swali la kijinga.Kwa hiyo Waisraeli nchi yao ya asili (rudi kwenye maswali niliyokuomba ujiulize mwanzo kule)ni ipi na wapi katika eneo gani hapa duniani?What a foolish question from "I"?You have no ground bases for this. Na ndio tunachokataa mwana mtembezi alienda kutembea wapi? Wakati anaondoka alimkabidhi nani hiyo anayoiita nchi yake? Huyo muhuni aliyeuza ni nani na aliuza sh.ngapi?
Huwa mnaleta stori za kusadikika sana kwenye maisha ya wapalestina. Foolish
Hiyo complaining yawezekana yaliambatana na vitendo vya vurugu ndiyo maana wakafukuzwa. Kama wangelalamika kwa kupiga simu kwa namba ya malalamiko/ushauri wasingekufuzwaIs complaining equal to causing the chaos?
Hao n azayuni wakiwepo mahali lazima walete fitna.Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Again, you are wrong.Hizo sera na miongozo inaweza isiwe suitable kwa kila mteja wako.Na ndiyo maana,unatakiwa uwe unaipitia mara kwa mara ili iendane na mahitaji ya muda,wateja na uhalisia.Tujifunze kuwa watu wa kukirimu wateja na siyo kushindana,kukwazana au kupigana nao vijembe.
Wamekuja kuongeza makusanyo ya serikaliKuna mtu aliwaita waje?
Nia ovu huanzia mbali.Ninavyowajua watanzania,kama kweli hao watalii wangerusha ngumi au kuleta fujo( raising a complain)wasingeacha kueleza kwa kina.And,the inquisitive question is,kwa nini imekuwa ni habari kubwa hadi iandikwe?Kwa sababu ni waizraeli?Je,hawakuwahi kufanyiwa "complains" na watu wa mataifa mengine hapo awali?Why now?Je,hatutakiwi kujumlisha namba?🤔🤔🤔🤔🤔Hiyo complaining yawezekana yaliambatana na vitendo vya vurugu ndiyo maana wakafukuzwa. Kama wangelalamika kwa kupiga simu kwa namba ya malalamiko/ushauri wasingekufuzwa
WasepeWamekuja kuongeza makusanyo ya serikali
And,you're as very wrong as earlier stated.Kwa hiyo huduma zako ni za kiuchaguzi?Ulizieleza kwa mteja hapo awali?Au unamuacha/unamtega mteja ajihangaikie mwenyewe?Kutokujielewa.Au ndiyo mteja akigundua dosari neno "sorry" lipo tayaritayari kwenye lips?Again, you are wrong.
Ni wajibu wa mteja kuchagua kukaa hotel yenye sera anazotaka yeye.
Ni wajibu wa wote watakaokuja nyumbani kwangu kufuata sera na miongozo yangu mimi na sio mimi nifuate anavyotaka mtoto wa shangazi yangu aliekuja kunitembelea nyumbani kwangu huku Usagara Tanga.
Sera ya nyumba yangu ni kwamba Wakati wa kula si ruhusa kuwa na simu mezani, na upande wa kulia nimeweka bendera ya free Palestine. Ukiona huwezi taratibu hizi tafadhali usije nyumbani kwangu na uende kwa wengine huko.
Mjadala na wewe nimeifunga hapa maana nimejiridhisha upo kishabiki zaidi na huna hoja za msingi juu ya hili.
🤣 wewe ndio umeniuliza swali la kijinga sasa. Kwani huko walikotoka ni wapi? Si ndio kwao huko kwanini wasirudi huko?Ngoja nikuulize swali la kijinga.Kwa hiyo Waisraeli nchi yao ya asili (rudi kwenye maswali niliyokuomba ujiulize mwanzo kule)ni ipi na wapi katika eneo gani hapa duniani?What a foolish question from "I"?
Wapewe tu refund yao, wafanyabiashara wa bongo wanapenda kufanya biashara kwa mazoea, wanapokutana na wabishi kama hao inakuwa changamoto sana kwao...."wanadai refund"...!Kwani kudai chako ni kosa ndugu yangu?Umeshindwa kutimiza hitaji/tegemeo la mteja kwa nini asidai umrudishie malipo?Ulimuelekeza kabla kwamba hapo hakuna refund?
Hapa Manyovu tumesema "umehepa swali mugabho"!Ngoo,umehepa!😂🤣 wewe ndio umeniuliza swali la kijinga sasa. Kwani huko walikotoka ni wapi? Si ndio kwao huko kwanini wasirudi huko?
Ww mshenziMtu akishasoma kitabu cha mud na kukiamini automatically aspojikontroo anakuwa gaidi