Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Tunajua vita kali iliyopo baina ya Israel na HAMAS kwa mgongo wa Palestine.

Mtalii anapoingia hotelini na kukuta gari limeandikwa Free Palestine, lazima aweke usalama wake katika hali ya kujiuliza.

Mtu anayeweka mpakaa sticker ya kulitetea kundi fulani, tena akiwa kiongozi wa ngazi ya juu katika hoteli hiyo, anaweza kufanya jambo la hatari kwa watu wa taifa hasimu na analolishabikia.

Tena mtu huyo akiwa Muislamu, wanaongozwa na hisia za kipuuzi badala ya akili.
Hakuna lolote zaidi ya kuwatimua.
 
Hujakomboka bado kifikra.

Bado ni mtumwa wa kifedha.
Ulichokiandika maana yake ni;-
-hujakomboka bado kifikra=amestaarabika hapendi malumbano yasiyo leta tija na kuharibu biashara.
-Bado ni mtumwa wa kifedha=anajua anafanya nini na hafanyi kazi ya kumpa kipato kwa mazoea,kutanguliza chuki,dharau na kulishwa historia chonganishi na kujivika/kujiingiza kwenye mapambano yasiyomuhusu.
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Kuna mtu aliwaita waje?
 
Hayo malalamiko yawezekana yaliambatana na vitendo vya hovyo ndiyo maana ikachukuliwa kama fujo.

Wangeenda ofisi kulalamika kiustaarabu bila kushout wasingekufuzwa. Au wangepiga namba za simu kwa boss moja kwa moja
Hakuna ufafanuzi walioutoa.Tuache hilo mabanoni hadi watoe maelezo ya kina.
 
You have no ground bases for this. Na ndio tunachokataa mwana mtembezi alienda kutembea wapi? Wakati anaondoka alimkabidhi nani hiyo anayoiita nchi yake? Huyo muhuni aliyeuza ni nani na aliuza sh.ngapi?

Huwa mnaleta stori za kusadikika sana kwenye maisha ya wapalestina. Foolish
Ngoja nikuulize swali la kijinga.Kwa hiyo Waisraeli nchi yao ya asili (rudi kwenye maswali niliyokuomba ujiulize mwanzo kule)ni ipi na wapi katika eneo gani hapa duniani?What a foolish question from "I"?
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Hao n azayuni wakiwepo mahali lazima walete fitna.

Mkatoliki
Hitler hakuwa mjinga alivyokuwa anawaminya.
 
Zanzibar Ina mambo mengi YA udini Wa hovyo kabisa

Hii issue inaweza kuwafarakanisha Na EU au US ...inaonekana Sio sehemu Salama
Na Rai's Mwinyi yupo ambaye ariruhusu Zanzibar kuwa nchi YA kidini

Na Rai'
 
Hizo sera na miongozo inaweza isiwe suitable kwa kila mteja wako.Na ndiyo maana,unatakiwa uwe unaipitia mara kwa mara ili iendane na mahitaji ya muda,wateja na uhalisia.Tujifunze kuwa watu wa kukirimu wateja na siyo kushindana,kukwazana au kupigana nao vijembe.
Again, you are wrong.

Ni wajibu wa mteja kuchagua kukaa hotel yenye sera anazotaka yeye.

Ni wajibu wa wote watakaokuja nyumbani kwangu kufuata sera na miongozo yangu mimi na sio mimi nifuate anavyotaka mtoto wa shangazi yangu aliekuja kunitembelea nyumbani kwangu huku Usagara Tanga.

Sera ya nyumba yangu ni kwamba Wakati wa kula si ruhusa kuwa na simu mezani, na upande wa kulia nimeweka bendera ya free Palestine. Ukiona huwezi taratibu hizi tafadhali usije nyumbani kwangu na uende kwa wengine huko.

Mjadala na wewe nimeifunga hapa maana nimejiridhisha upo kishabiki zaidi na huna hoja za msingi juu ya hili.
 
Hiyo complaining yawezekana yaliambatana na vitendo vya vurugu ndiyo maana wakafukuzwa. Kama wangelalamika kwa kupiga simu kwa namba ya malalamiko/ushauri wasingekufuzwa
Nia ovu huanzia mbali.Ninavyowajua watanzania,kama kweli hao watalii wangerusha ngumi au kuleta fujo( raising a complain)wasingeacha kueleza kwa kina.And,the inquisitive question is,kwa nini imekuwa ni habari kubwa hadi iandikwe?Kwa sababu ni waizraeli?Je,hawakuwahi kufanyiwa "complains" na watu wa mataifa mengine hapo awali?Why now?Je,hatutakiwi kujumlisha namba?🤔🤔🤔🤔🤔
 
Again, you are wrong.

Ni wajibu wa mteja kuchagua kukaa hotel yenye sera anazotaka yeye.

Ni wajibu wa wote watakaokuja nyumbani kwangu kufuata sera na miongozo yangu mimi na sio mimi nifuate anavyotaka mtoto wa shangazi yangu aliekuja kunitembelea nyumbani kwangu huku Usagara Tanga.

Sera ya nyumba yangu ni kwamba Wakati wa kula si ruhusa kuwa na simu mezani, na upande wa kulia nimeweka bendera ya free Palestine. Ukiona huwezi taratibu hizi tafadhali usije nyumbani kwangu na uende kwa wengine huko.

Mjadala na wewe nimeifunga hapa maana nimejiridhisha upo kishabiki zaidi na huna hoja za msingi juu ya hili.
And,you're as very wrong as earlier stated.Kwa hiyo huduma zako ni za kiuchaguzi?Ulizieleza kwa mteja hapo awali?Au unamuacha/unamtega mteja ajihangaikie mwenyewe?Kutokujielewa.Au ndiyo mteja akigundua dosari neno "sorry" lipo tayaritayari kwenye lips?
 
Ngoja nikuulize swali la kijinga.Kwa hiyo Waisraeli nchi yao ya asili (rudi kwenye maswali niliyokuomba ujiulize mwanzo kule)ni ipi na wapi katika eneo gani hapa duniani?What a foolish question from "I"?
🤣 wewe ndio umeniuliza swali la kijinga sasa. Kwani huko walikotoka ni wapi? Si ndio kwao huko kwanini wasirudi huko?
 
..."wanadai refund"...!Kwani kudai chako ni kosa ndugu yangu?Umeshindwa kutimiza hitaji/tegemeo la mteja kwa nini asidai umrudishie malipo?Ulimuelekeza kabla kwamba hapo hakuna refund?
Wapewe tu refund yao, wafanyabiashara wa bongo wanapenda kufanya biashara kwa mazoea, wanapokutana na wabishi kama hao inakuwa changamoto sana kwao.
 
Back
Top Bottom