Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Kumbe wewe huna akili sasa kusapoti palestina iwe huru ni kosa? Wewe hautaki palestina iwe huru dhidi ya ukandamizaji unaofanywa na israeli?
Wapalestina hawakandamizwi.Walichagua kutokukaa na Israeli bila amani kwa hiyari ya mioyo yao.Wanachokifanya Israeli ni kudumisha adabu na amani tu/maintaining discipline and peace and order tu kwa wakaidi.
 
Watashangaa wakikutana na bajaji na mabus yenye picha za Osama Bin Laden

Kweli akili huna, hapa sio barabarani, ni mahali wanalala, na manager ni mwenyeji wao, na wao wana passport za Israel, na maoni ya manager ni kwamba hao palestina wanakombolewa toka kwa wa Israel, huoni ni tofauti na Bajaj?
 
Umetafakari kwa kina au umekurupuka kumbuka Hilo ni gari binafsi ni kama wewe ukiwa na gari yako ndani umeweka bendera ya Chadema afu ukalipaki kazini kwako afu wafuasi wa CCM walalamike
Hii mijitu kwani inaweza hata kutafakari? unalipa kazi ngumu ya bureeee.
 
Hii habari imekaa kishabiki kuliko uhalisia, upande wa pili sio habari za kushabikia ikiwa mnapenda kuongeza mapato ya kitalii.
Kama ni kweli kuna tukio kama hilo, suluhisho lilikuwa majadiliano na kulimaliza kidiplomasia.
Sio sahihi sana kuweka itikadi kwenye biashara.

Hotel yenyewe ni Canary, sijui malengo ya wafanya biashars wengine ni nini? Unafanya uwekezaji mkubwa, then mambo ya hovyo kama haya.
 
..."kazini kwako"...!Ofisi binafsi,ya chama au ya umma?Kama ni binafsi au ya chama ni sawa kuweka bendera.Lakini,kama inatumiwa na watu wote/umma,kuweka bendera za kisiasa ni upumbavu uliopitiliza viwango.
HALAFU;Kulikuwa na ulazima au umuhimu gani wa kuwafukuza hao watalii/wageni wa Kiizraeli kwa sababu ya kuuliza walichouliza tu?Hakukuwa na namna ya kuwaelewesha kuhusu uhuru wa kufanya mambo katika nchi(Zanzibar)bila kuvunja sheria?Hoja kuu ya kuwafukuza ni ipi?
ukisoma vizuri hiyo habari kulingana na taarifa wamefukuzwa baada ya kuleta fujo hotelini...! hata kama jambo hupendi tafuta utaratibu mzuri wa kuwasilidha si fujo ...na tukilea tabia za wageni kufanya fujo nyumbani kwetu ni kuharibu heshima yetu pia.
 
Hiyo sasa ni Ant Semitism! Na inaonekana huenda kwa kujua ni Waisraeli,meneja amebandika stika hiyo ili kuwaudhi.Lakini hata kama walichukia wasingetimuliwa ndani ya Hotel.
Tuwe makini tusije kuharibu soko letu la Watalii.
Ukiigusa Israel umeigusa US,UK,umegusa nchi za jumuia ya Uraya,EU!
Zinaweza kuzuia Watalii wasije.
Pumbavu zao.

Kwahiyo hata uhuru wako wa maoni utauuza kwa vipande vya fedha ? mnawaza kwa kutumia nini?

10 years down the line hii mi Israel itafukuzwa kila sehemu duniani
 
Bro najishughulisha na kazi za utalii, nishafanya kazi hotelini.. niamini, hapo waisraeli ndio wenye shida,

Siku zote Manager ama mfanyakazi lazima asikilize kero ya mteja kwenye hii sekta, changamoto inakuja pale ambapo unakutana na wateja ambao si waelewa kama waisrael, muda wote wanalilia redund (wanaongoza katika hili)... Wao wanajiona wapo perfect muda wote na wanataka kuogopwa na kunyenyekewa...

Nina uhakika hapo waliomba refund, na wakiona haiwezekani hulalamika wanaonewa, na si ajabu ni wao ndio waliochapisha hiyo habari mtandaoni
..."wanadai refund"...!Kwani kudai chako ni kosa ndugu yangu?Umeshindwa kutimiza hitaji/tegemeo la mteja kwa nini asidai umrudishie malipo?Ulimuelekeza kabla kwamba hapo hakuna refund?
 
Umetafakari kwa kina au umekurupuka kumbuka Hilo ni gari binafsi ni kama wewe ukiwa na gari yako ndani umeweka bendera ya Chadema afu ukalipaki kazini kwako afu wafuasi wa CCM walalamike

Ni gari ya manager, host wa hao wageni, mwenyeji wao, na huyo Manager ana access na file la booking za hao wageni, ambao passport yao ni ya Israel, kuwa kama mtu mwenye akili.
 
It has to cause them concern, wao wana passport ya Israel, kwa Mtazamo wao, Free Palestinian means from Israel, na host wao ambaye ni Manager anaona wao sio fair, it has to raise concern.
Concern ya nini? Huyo meneja ame-target serikali ya Israel na siyo raia mmoja mmoja, halafu ni peaceful message na siyo violence. Dunia nzima imejaa maandishi ya kutaka mashoga watambulike, wakati kuna watu wengi tu wanaona siyo jambo jema.
 
Hiyo Hotel hawajielewi mimi hata duka nikiona lina maneno free Palestine siingii najua ni duka la Magaidi wa Hamas kununua kitu hapo ni kuwachabgia pesa Hamas
Ni ujinga kukuosa huduma kwa kuangalia mwenye duka kaweka nembo gani,hasa ukiwa Tanzania,au mwenye taxi au bajaj kaweka bendera au nembo gani zipo taxi na bajaj zina nembo na matangazo kinyume na abiria,lakini watanzania hatujali hilo.Kwa mfano unaweza kupanda taxi,inq benders ya Israel au ya Saudia,bajaj ina picha za wambaji au ina benders ya Yanga au simba,au taxi au bajaj ina msalaba au tasbihi,lakini abiria wa Tanzania hawajali wala kushughulishwa na hayo.
Na hata bidhaa zinazozalishwq zenye nembo au asili ya Israel,utakuta watanzania hawajishughulishi kabisa,kujua ni bidhaa ya nchi gani,watu wanatumia bila kuuliza wala kukatazana.
 
..."kazini kwako"...!Ofisi binafsi,ya chama au ya umma?Kama ni binafsi au ya chama ni sawa kuweka bendera.Lakini,kama inatumiwa na watu wote/umma,kuweka bendera za kisiasa ni upumbavu uliopitiliza viwango.
HALAFU;Kulikuwa na ulazima au umuhimu gani wa kuwafukuza hao watalii/wageni wa Kiizraeli kwa sababu ya kuuliza walichouliza tu?Hakukuwa na namna ya kuwaelewesha kuhusu uhuru wa kufanya mambo katika nchi(Zanzibar)bila kuvunja sheria?Hoja kuu ya kuwafukuza ni ipi?
Kuuliza walichouliza? Unajua hata suala lenyewe limekuwaje? au unaleta ushabiki maandazi?

Hao wamemuambia hotel manager kwamba kuiona hiyo bendera inawafanya wawe "concerned "

Ni vyema kukaa kimya kama huna taarifa za kutosha juu ya jambo flani
 
..."wanadai refund"...!Kwani kudai chako ni kosa ndugu yangu?Umeshindwa kutimiza hitaji/tegemeo la mteja kwa nini asidai umrudishie malipo?Ulimuelekeza kabla kwamba hapo hakuna refund?
Hli unatakiwa ujue taratibu za hotel kabla ya kuanzisha ubishi. Kuna hotel nyingine kwa mfano kama umelipia wiki moja na ukakaa siku mbili basi hata ukiamua kuondoka hurudishiwi fedha. Nyingine kuna kipindi kikishapita fedha hazirudi.
 
ukisoma vizuri hiyo habari kulingana na taarifa wamefukuzwa baada ya kuleta fujo hotelini...! hata kama jambo hupendi tafuta utaratibu mzuri wa kuwasilidha si fujo ...na tukilea tabia za wageni kufanya fujo nyumbani kwetu ni kuharibu heshima yetu pia.
Hoja ni kwamba,tumeandikiwa maneno..."after complaining "..!Swali ni,Je,complaining tafsiri yake kwa kiswahili ni nini?
-ni kulalamika AU
-kuleta fujo?
Wangetupa ufafanuzi zaidi kwa ajili ya afya ya sekta ya utalii.
 
Wapalestina hawakandamizwi.Walichagua kutokukaa na Israeli bila amani kwa hiyari ya mioyo yao.Wanachokifanya Israeli ni kudumisha adabu na amani tu/maintaining discipline and peace and order tu kwa wakaidi.
Aisee . Hivi wewe mi naweza kuja nyumbani kwako nikupangie namna ya kuishi halafu niki react unakuja juu kutaka kudumisha adabu na amani?
 
Bro najishughulisha na kazi za utalii, nishafanya kazi hotelini.. niamini, hapo waisraeli ndio wenye shida,

Siku zote Manager ama mfanyakazi lazima asikilize kero ya mteja kwenye hii sekta, changamoto inakuja pale ambapo unakutana na wateja ambao si waelewa kama waisrael, muda wote wanalilia redund (wanaongoza katika hili)... Wao wanajiona wapo perfect muda wote na wanataka kuogopwa na kunyenyekewa...

Nina uhakika hapo waliomba refund, na wakiona haiwezekani hulalamika wanaonewa, na si ajabu ni wao ndio waliochapisha hiyo habari mtandaoni

Hiyo Hotel ina waoumbavu na wswe umefanya kazi hotelin na akili huna kabisa.

Hao jamaa wakiandika na hiyo habari ikawa kubwa, ni aibu kwa Hotel, na ni ukichaa kwa manager.

Maoni ya dini na misimamo hayaletwi kwenye biashara, kaa na dini zako huko kwenu.

Nakuhakikishia, jamaa atapata watalii waarabu tu na kamwe sio wa ulaya, Marekani na Israel.

Sasa hao waarabu wanasafiri lini, shida ipo hapo??!!!!!
 
Concern ya nini? Huyo meneja ame-target serikali ya Israel na siyo raia mmoja mmoja, halafu ni peaceful message na siyo violence. Dunia nzima imejaa maandishi ya kutaka mashoga watambulike, wakati kuna watu wengi tu wanaona siyo jambo jema.

Avatar na kofia uliyovaa inaonyesha tu wewe ni mpumbavu.
 
Elimu ya bure

Kibiashara ni kosa kuweka kitu chochote chenye maudhui ya kisiasa, kidini, itikadi michezo nk katika eneo la biashara. Ndio maana hata jezi za timu za mpira, bendera, stika, au nguo za chama haziruhusiwi eneo la biashara/ofisini.

Infact hata aina ya muziki unaopigwa sehemu ya biashara mfano kwenye mabasi ya abiria ni makosa kupiga muziki wa dini!

Hii ni kwasababu, sio kila mteja atakaekuja kwenye biashara yako ni mshabiki/mfuasi wa hicho ulichokiweka. Na wewe kama mfanyabiashara, kitu cha mwisho unachotaka ni kuwapoteza wateja kwasababu ya itikadi zako binafsi.

Mteja anayo haki ya kulalamika pale ambapo mfanyabiashara ameweka vitu kama hivyo. Na kwenye "customer care" unaambiwa mteja anaelalamika ni bora kuliko yule anaeondoka kimya kimya na kwenda kutangaza kwa wenzake kwamba pale msiende kuna hiki na kile.

Nilichojifunza ni kwamba sisi watanzania huwa hatuna utaratibu wa kulalamika. Na anapotokea mtu akalalamika sisi tunamuona kama ni mkorofi na analeta fujo.
 
Kuuliza walichouliza? Unajua hata suala lenyewe limekuwaje? au unaleta ushabiki maandazi?

Hao wamemuambia hotel manager kwamba kuiona hiyo bendera inawafanya wawe "concerned "

Ni vyema kukaa kimya kama huna taarifa za kutosha juu ya jambo flani
Polepole dugu yangu veve!Mbona umekasirika sana,eeenh?Tueleveshane polepole eenh?
 
Hivi,ukikaa kwa kutulia ukajiuliza,ni watoto wa kipalestina tu ndiyo pekee wanaokufa kwa mapigano hapa duniani?Umeitazama DRC?Umeiona Sudan?Chad?Ukraine?Lakini,kelele nyingi nazo humuokoa mke kutoka kwenye kipigo cha mumewe!
Kama huko ulikosema hakuna kelele haimaanishi Palestina watu wasipige kelele. Halafu mgogoro wa Palestina ni tofauti mno wa eg DRC au Sudan. Kuhusu Ukraine kama huoni kelele basi wewe huko hii dunia.
 
Back
Top Bottom