Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Hiyo ni sehemu ya biashara.Hatumchukui Ashura au Joni asiye na mafunzo ya kukirimu wateja kiuweledi.Sasa kuna haja gani ya kupeleka watu vyuo vya mambo ya uongozi mahiri wa hoteli kama huduma zenyewe siyo pursuasive kama hizo?Huduma zitolewapo zina miongozo/rules.And,rules are rules.Withou rules we are all savages!Ndiyo hapo tunafikia kufurusha wageni hotelini.
Sio kweli,mbona zipo taxi na mabasi yana bendera za Israel na maandishi ya Yesu na Muhammad(s.a.w) na bendera za Israel na nyingne bendera za Saudia,lakini watanzania wanapanda bila kujali gani ni ya mtu wa dini gani au mashabiki wa wapi.
 
Kufukuza watalii kwa kuhoji vipi hapo? Wako kwenye vita na Palestina.Hapo hotelini waweza hisi kuna wapiganaji wa palestina kwa hiyo mrseji ya free Palestine. Hoteli iliyakiwa kutumia hekima kuwa slogans zozote au magari yenye maneno kama hayo yasiingie hotelini au wenyewe wayabandue
Hapo ni sehemu ya biashara
Mambo hayo wakafanye huko kwao. Sio nchi za watu halafu wapangie watu namna wanataka kuishi.
 
Hli unatakiwa ujue taratibu za hotel kabla ya kuanzisha ubishi. Kuna hotel nyingine kwa mfano kama umelipia wiki moja na ukakaa siku mbili basi hata ukiamua kuondoka hurudishiwi fedha. Nyingine kuna kipindi kikishapita fedha hazirudi.
Bado haijafafanuliwa kuhusu hao watu kama ilikuwa ni kudai wawe refunded au walianzisha "fujo"/complaining!Na hadi kufurushwa hotelini walianza,kupitia na kuishia wapi?
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Kama ingalikuwa sticker ipo kwenye gari la mteja mwingine tu wa kawaida hii ingaliweza kuleta tafsiri na mantiki tofauti. Lakini kuwepo kwake katika gari la meneja wa hoteli yenye kutoa huduma ya moja kwa moja kwao,, hiyo kwa vyovyote vile inaleta tafsiri ya anti-Semitism.

Meneja ni mtu mwenye uwezo wa kupata taarifa za ndani za wareja wote wanaopokelewa hotelini kwake. Meaning altambua uwepo wa Waisraeli hao na kwa makusudi aliamua kuonyesha chuki zake kwao.. Hii kwa kuwa katika hali ya kawaida akiwa kama meneja hapaswi kuonyesha hisia za chuki wala kubagua wateja wake.

Muonekano wa gari lake la thamani pamoja na hadhi yake, haitarajiwi kuwa na sticker yenye ujumbe wenye maudhi kwa baadhi ya watalii kama ule., kwa kuwa yeye ni lazima anatambua mambo yo kiprotokali yawahusuyo wateja wake ikiwamo watalii.
 
..."wanadai refund"...!Kwani kudai chako ni kosa ndugu yangu?Umeshindwa kutimiza hitaji/tegemeo la mteja kwa nini asidai umrudishie malipo?Ulimuelekeza kabla kwamba hapo hakuna refund?
unapewaje refund na hakuna kosa lolote ambalo limeleta kikwazo katika utoaji wa huduma

Istoshe kila kampuni na taasisi ina sera zake na miongozo yake,
 
Hiyo Hotel hawajielewi mimi hata duka nikiona lina maneno free Palestine siingii najua ni duka la Magaidi wa Hamas kununua kitu hapo ni kuwachabgia pesa Hamas
Sio magaidi wa hamas tuu bali magaidi ya kiislam
 
Bora niwe mpumbavu mwenye akili kuliko kuwa mjanja asiye na akili kama wewe. Wewe comments zako nyingi za hapa JF zinaonyesha wewe huna exposure na ni matokeo ya hizi elimu za kata.


Huna koswa, unapambania ma bikira....
 
Hiyo Hotel hawajielewi mimi hata duka nikiona lina maneno free Palestine siingii najua ni duka la Magaidi wa Hamas kununua kitu hapo ni kuwachabgia pesa Hamas
Na ndio maana manager alivyojua tu kama haya ni majambazi na mauji ya Israel hajataka mjadala akayafukuzilia mbali kudaadeki zao.

wakatafute hotel za majangili wenzao wakakae huko
 
Aisee . Hivi wewe mi naweza kuja nyumbani kwako nikupangie namna ya kuishi halafu niki react unakuja juu kutaka kudumisha adabu na amani?
Wewe ni mtu mzima.Hebu tulia.Hivi ulianza kusikia kuhusu Israeli na Palestine kuanzia lini?Walitokea wapi hao wawili?Waliishi nchi gani?Ukipata majibu ndiyo urudi kujiuliza:Je,hao wote wawili bado wapo kwenye nchi/ardhi/maeneo sahihi hadi leo hii?Kuna mmoja amemdhulumu mwenzie?
 
Kama ingalikuwa sticker ipo kwenye gari la mteja mwingine tu wa kawaida hii ingaliweza kuleta tafsiri na mantiki tofauti. Lakini kuwepo kwake katika gari la meneja wa hoteli yenye kuroa huduma,, hiyo kwa vyovyote vile inaleta tafsiri ya anti-Semitism.

Meneja ni mtu mwenye uwezo wa kupata taarifa za ndani za wareja wote wanaopokelewa hotelini kwake. Hapaswi kuonyesha hisia za chuki wala kubagua wateja wake.

Muonekano wa gari lake la thamani pamoja na hadhi yake, haitarajiwi kuwa na sticker yenye ujumbe wenye maudhi kwa baadhi ya watalii kama ule., kwa kuwa yeye ni lizima anatambua mambo yo kiprotokali yawahusuyo wateja wake ikiwamo watalii.
You dont know even what is anti-semitism. Rudi utafute azimio la UN kuhusu mgogoro wa Israel na Palestina, uone kuna msimamo gani.
 
Hao jamaa wa Israel sio wanafiki kabisa, wameona kitu cha kuwakwaza wakaona wasinyamaze.

Sasa huyo meneja wa hiyo hoteli akatafute wapalestina awajaze hapo hotelini kwake, unafanya biashara huku ukiwa huna akili ya hiyo biashara unayofanya, wateja wakipungua unaenda kwa mganga kusafisha nyota.
Mambo ya waganga unayajua wewe tu hohehahe. Wewe unadhani management ya hotel haijui kuhusu ethics za biashara? but why still wakaamua kufukuza hayo majambaka?

People are not slave to money.
 
Hiyo Hotel ina waoumbavu na wswe umefanya kazi hotelin na akili huna kabisa.

Hao jamaa wakiandika na hiyo habari ikawa kubwa, ni aibu kwa Hotel, na ni ukichaa kwa manager.

Maoni ya dini na misimamo hayaletwi kwenye biashara, kaa na dini zako huko kwenu.

Nakuhakikishia, jamaa atapata watalii waarabu tu na kamwe sio wa ulaya, Marekani na Israel.

Sasa hao waarabu wanasafiri lini, shida ipo hapo??!!!!!
😂😂 sawa sina akili, uzuri tunakaa nao na kuongea nao hao watalii, hawapo hivyo mnavyowachukulia... Anzisha hotel ama kampuni ya utalii kisha tekeleza kila alitakalo mgeni, hasa hao waisraeli, utarudi hapa na kusema nani mwenye shida hapo, kuna vitu Kutana navyo kwanza

Sijakataa kwa Manager kufanya hivyo ni kosa, lakini tuangalie pia, vp kama gari ingekuwa ni ya mtu mwengine (labda ya mgeni mwengine)na si ya Manager

Ukorofi ni jadi yao waisraeli, Kutana nao kwenye biashara ndio utaelewa zaidi

Hivyo wamarekani walivyo na uhasama na waarabu na urusi lakini wakikutana hotelini wanaweza piga story na kucheka pamoja, lakini si muisrael na mrusi ama mwarabu
 
Tatizo mnaweka hisia zenu za kidini katika hili, post yako kabla ya hii inajieleza kuhusu wewe.

Hivi unafikiri meneja wa hoteli ni mjinga awafukuze watu waliolipia siku nyingi bila refund? Acha tu kuwatimua, hukusoma walienda kufanya fujo mapokezi kwa kulalamikia hilo gari lenye bendera za Palestina?

Ifikie wakati kama binadamu tujifunze ustaarabu na kukubaliana na mawazo huru, kila mmoja ana uhuru wa kuamini anachotaka na ikiwa tofauti na wewe sio vita.
Yeye amesema akiona duka tu lina bendera ya Palestine haendi lakin wenzie wakiamua kuchkua hatua wanazozitaka wao eti wamekosea.

Pumbavu sana hawa jamaa.

Binafsi nimemuandikia msg kumpongeza huyo manager kwa hatua stahiki alizochkua.
 
Waisrael wasiichukie tanzania kwa hilo, wajue kuwa huko zanzibar kuna ndugu wa imani ya wapalestina wako tele sehemu hiyo. The rest tanzanians wish God bless israel. Waisrael waondoe shaka tanzania haina chuki nao na inawaombea mema Mungu awabariki. Huyo meneja ni mpuuzi mmoja tu mwenye itikadi za dini akiwaunga mkono ndugu zake wa imani
 
😂😂 sawa sina akili, uzuri tunakaa nao na kuongea nao hao watalii, hawapo hivyo mnavyowachukulia... Anzisha hotel ama kampuni ya utalii kisha tekeleza kila alitakalo mgeni, hasa hao waisraeli, utarudi hapa na kusema nani mwenye shida hapo, kuna vitu Kutana navyo kwanza

Sijakataa kwa Manager kufanya hivyo ni kosa, lakini tuangalie pia, vp kama gari ingekuwa ni ya mtu mwengine (labda ya mgeni mwengine)na si ya Manager

Ukorofi ni jadi yao waisraeli, Kutana nao kwenye biashara ndio utaelewa zaidi

Hivyo wamarekani walivyo na uhasama na waarabu na urusi lakini wakikutana hotelini wanaweza piga story na kucheka pamoja, lakini si muisrael na mrusi ama mwarabu


Laiti ungalijua nachofanya ungeelewa, mimi naenda nje ya nchi kila mwaka kufanya promotions za utalii, ngoja niishie hapo.
 
Huna koswa, unapambania ma bikira....
And that is precisely why I mentioned your lack of exposure and education. What leads you to believe that I am a Muslim fighting for my religion? Supporting Palestine does not inherently denote one's religious affiliation. It's important to note that there exists a UN resolution concerning the state of Palestine
 
unapewaje refund na hakuna kosa lolote ambalo limeleta kikwazo katika utoaji wa huduma

Istoshe kila kampuni na taasisi ina sera zake na miongozo yake,
Hizo sera na miongozo inaweza isiwe suitable kwa kila mteja wako.Na ndiyo maana,unatakiwa uwe unaipitia mara kwa mara ili iendane na mahitaji ya muda,wateja na uhalisia.Tujifunze kuwa watu wa kukirimu wateja na siyo kushindana,kukwazana au kupigana nao vijembe.
 
Hilo halina shida, ila sio kwenye nchi za watu unataka kuwapangia watu namna ya kuishi.

Mamlaka za nchi hazina tatizo na hilo la mwenye gari kuweka itikadi zake kwenye gari, wewe wa kuja unamletea shida? Tena nawashangaa sana nyie watu mnaowashabikia hii ni dharau kubwa sana kwetu mgeni kujipa mamlaka nchini kwetu.
Miafrika hiyo Nifah
 
Back
Top Bottom