😂😂 sawa sina akili, uzuri tunakaa nao na kuongea nao hao watalii, hawapo hivyo mnavyowachukulia... Anzisha hotel ama kampuni ya utalii kisha tekeleza kila alitakalo mgeni, hasa hao waisraeli, utarudi hapa na kusema nani mwenye shida hapo, kuna vitu Kutana navyo kwanza
Sijakataa kwa Manager kufanya hivyo ni kosa, lakini tuangalie pia, vp kama gari ingekuwa ni ya mtu mwengine (labda ya mgeni mwengine)na si ya Manager
Ukorofi ni jadi yao waisraeli, Kutana nao kwenye biashara ndio utaelewa zaidi
Hivyo wamarekani walivyo na uhasama na waarabu na urusi lakini wakikutana hotelini wanaweza piga story na kucheka pamoja, lakini si muisrael na mrusi ama mwarabu