Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Bro narudia tena, hamuwajui waisraeli linapokuja suala la utoaji huduma, hasa wakiwa kwenye nchi za watu... Na kuna biashara ukizifanya si kila lalamiko la kulisikiliza,Hizo sera na miongozo inaweza isiwe suitable kwa kila mteja wako.Na ndiyo maana,unatakiwa uwe unaipitia mara kwa mara ili iendane na mahitaji ya muda,wateja na uhalisia.Tujifunze kuwa watu wa kukirimu wateja na siyo kushindana,kukwazana au kupigana nao vijembe.
Nakupa mfano sababu nimekutana navyo kuanzia ya hao waisraeli, na ndugu zao wengine wa kuitwa watalii
Mgeni anakuja anakuambia "samahani Manager pale, pale restaurant kuna watu (wageni wenzao) wanapiga kelele, na sisi hatutaki kelele, sababu tumelipa pesa nyingi ili tuje upumzike, na sio kusikiliza kelele"
halafu unakuta hizo kelele wala si za kumfanya mtu akwazike ni vile tu hataki kusikia anachoongea mwengine
Ukiangalia ni kweli amekuja kupumzika, lakini lile ni eneo ambalo ni public kwa wageni wote, wapo free kufanya wanachotaka ila tu wasivunje sheria...