Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Hizo sera na miongozo inaweza isiwe suitable kwa kila mteja wako.Na ndiyo maana,unatakiwa uwe unaipitia mara kwa mara ili iendane na mahitaji ya muda,wateja na uhalisia.Tujifunze kuwa watu wa kukirimu wateja na siyo kushindana,kukwazana au kupigana nao vijembe.
Bro narudia tena, hamuwajui waisraeli linapokuja suala la utoaji huduma, hasa wakiwa kwenye nchi za watu... Na kuna biashara ukizifanya si kila lalamiko la kulisikiliza,

Nakupa mfano sababu nimekutana navyo kuanzia ya hao waisraeli, na ndugu zao wengine wa kuitwa watalii

Mgeni anakuja anakuambia "samahani Manager pale, pale restaurant kuna watu (wageni wenzao) wanapiga kelele, na sisi hatutaki kelele, sababu tumelipa pesa nyingi ili tuje upumzike, na sio kusikiliza kelele"

halafu unakuta hizo kelele wala si za kumfanya mtu akwazike ni vile tu hataki kusikia anachoongea mwengine

Ukiangalia ni kweli amekuja kupumzika, lakini lile ni eneo ambalo ni public kwa wageni wote, wapo free kufanya wanachotaka ila tu wasivunje sheria...
 
Mambo ya waganga unayajua wewe tu hohehahe. Wewe unadhani management ya hotel haijui kuhusu ethics za biashara? but why still wakaamua kufukuza hayo majambaka?

People are not slave to money.
Kama asingekuwa mtumwa wa pesa asingefungua biashara wewe mjinga.

Na kama anapenda sana pesa za wapalestina, basi kwenye tangazo la hoteli yake angesema wazi hapokei raia wa Israel, una akili mbovu kama huyo bosi wa hoteli.
 
Serikali ya zanzibar ipo na inajivunia kupata hela kupitia utalii, ipige marufuku stika zote za namna hiyo ili kuepuka kukwaza wateja kutoka kwenye mataifa yanayosigana na mahasimu wao. Hata bara upuuzi huo wa mabango hayo upigwe marufuku, hela za watalii wa kiisrael na washirika wao tunazihitaji tufanye maendeleo yetu
 
Hata kama ni gari binafsi la meneja naona atakuwa kakosea.Yeye ni meneja/individual. Sawa.Lakini,akumbuke amefika eneo la kazi ambalo anatakiwa ahudumie watu wenye imani,misimamo,itikadi na maono tofautitofauti. Kwa mfano,mteja Muizraeli akipatwa na dharula kiafya(au chochote)itakayohitaji apate usafiri,atakabali kutumia hilo gari kweli?Na tunajua watalii wengi Zanzibar siyo Wapalestina.Ni haohao "wazungu na waizraeli" anaowakwaza.
Jamii izi za kiarabu zina matatizo makubwa sana, huyo mwenye iyo hotel anatakiwa afanyiwe hujuma na serikali, maana hawa Natalie,
Raisi alienda kufanya matangazo kwa wazungu ili wataliii waje, sasa wanakuja tunakutana na watoa huduma wenye kuleta itikadi zao.
 
Hivi,ukikaa kwa kutulia ukajiuliza,ni watoto wa kipalestina tu ndiyo pekee wanaokufa kwa mapigano hapa duniani?Umeitazama DRC?Umeiona Sudan?Chad?Ukraine?Lakini,kelele nyingi nazo humuokoa mke kutoka kwenye kipigo cha mumewe!
Yeye ameamua kudeal na wanaokufa Palestine wewe deal na wanaokufa Ukraine.

Watu wasipangiane uhuru.
 
Bro najishughulisha na kazi za utalii, nishafanya kazi hotelini.. niamini, hapo waisraeli ndio wenye shida,

Siku zote Manager ama mfanyakazi lazima asikilize kero ya mteja kwenye hii sekta, changamoto inakuja pale ambapo unakutana na wateja ambao si waelewa kama waisrael, muda wote wanalilia redund (wanaongoza katika hili)... Wao wanajiona wapo perfect muda wote na wanataka kuogopwa na kunyenyekewa...

Nina uhakika hapo waliomba refund, na wakiona haiwezekani hulalamika wanaonewa, na si ajabu ni wao ndio waliochapisha hiyo habari mtandaoni
Kuna baadhi ya hotels tayar ukiwa tu unatokea Israel hawaku-host huku.

Hawa watu ni wasumbufu na wamelaaniwa toka dahari
 
Kuna baadhi ya hotels tayar ukiwa tu unatokea Israel hawaku-host huku.

Hawa watu ni wasumbufu na wamelaaniwa toka dahari
Kumbe?Mnakosea sana.Mtafute namna ya kudeal nao positively badala ya kutanguliza kuwachukia na kufurushana.Tokeni kwenye hizo fikra hasi/kutoka nje ya maboksi mlofungashwa na muwe wapya!
 
Hakuna ubaya wowote. Pengine suala la Palestina vs Israel wewe hulijui au unalijua kwa mtizamo wa kidini. Kwa taarifa yako haya maneno ni slogan ya nchi nyingi duniani na hata Umoja wa Mataifa. Huyo meneja apewe maua yake.
Na atapewa maua yake.

Anajitambua, ameamua kusimamia upande wa haki bila kupepesa macho. Nimeongea nae kumuuliza what happened na akanielezea. Walielezewa kwamba hilo ni gari binafsi na besides ni haki yake kuexpress hisia zake na mawazo yake.

Wakahakikishiwa usalama wao lkn wakataka eti aibandue hiyo bendera, WTF!

Aliwatimulia mbali
 
Liars and good story-tellers!Achana nao hao.Mihuni hiyo!🤣🤣🤣🤣🤣
Google inamilikiwa na mmarekani mwenye asili ya israeli ndio imechapisha hiyo taarifa. Na rais Harry Truman akaitambua israeli kama taifa siku hiyo hiyo ambayo Ben Gurion aliapishwa 14 May 1948 kuwa waziri mkuu wa kwanza wa taifa jipya la Israeli. Sasa wewe na wao nani muhuni ?
 

Attachments

  • Screenshot_20240420_073646_Google.jpg
    Screenshot_20240420_073646_Google.jpg
    257.8 KB · Views: 2
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."kama ni hivyo basi meneha akiwa anakula nguruwe nayeye akachunja nguruwe Alisa ni nguruwe WA meneja ni saw?
 
Na nyingine zinabendela za Israel..

Wabongo tunachukulia km urembo flani hivi vitu wala hatupogo serious.

Dunia ingeadopt maisha ya wabongo nawahakikishia kungekuwa na aman sana duniani ingawa ujinga ungewa mkubwa sana.
Wabongo wengi akili ndogo wanashabikia na wanahusudu vitu wasivyovijua kwa undani. Huwezi kuwa na kampuni ya magari halafu unaweka kwenye bus picha ya Kiduku Kim Jong wa Korea Kaskazini ambako raia hawana uhuru wa kumiliki kampuni za bus.
 
Kuna baadhi ya hotels tayar ukiwa tu unatokea Israel hawaku-host huku.

Hawa watu ni wasumbufu na wamelaaniwa toka dahari
Kuna watu hawajahi kutana na madhira ya hawa watu, ndio maana wanaona hotel imekosea, hata hivyo mimi nina uhakika hawajafukuzwa, wameamua wenyewe kuondoka..

ila mtandaoni wakaandika wamefukuzwa, sababu nayajua haya nimekutana nayo, hawa wageni wengine ni wakorofi kupindukia, atazua tatizo lolote lile ilimradi ugombane nae kisha adai kuondoka na refund...

Jiulize gari ipo parking huko, inakukera nn wewe uliye chumbani
 
Wapalestina hawakandamizwi.Walichagua kutokukaa na Israeli bila amani kwa hiyari ya mioyo yao.Wanachokifanya Israeli ni kudumisha adabu na amani tu/maintaining discipline and peace and order tu kwa wakaidi.
Uchaguzi wa kwanza kabisa waliouchagua ni kuweka ubinaadam mbele wakipowakaribisha hayo magaidi nchini mwao miaka ya 1940s pale ambapo nchi zote za Ulaya ziliwakataa.

Adolf Hitler alisema tutakuja kumbuka na kutamani angewamaliza wote maana hao si watu kamili
 
Google inamilikiwa na mmarekani mwenye asili ya israeli ndio imechapisha hiyo taarifa. Na rais Harry Truman akaitambua israeli kama taifa siku hiyo hiyo ambayo Ben Gurion aliapishwa 14 May 1948 kuwa waziri mkuu wa kwanza wa taifa jipya la Israeli. Sasa wewe na wao nani muhuni ?
Waliweka hivyo ili kutuliza mizuka/wahka tu kwa nyakati zile.Wanajua na unajua ni faked/fabricated illustrations hizo!
 
Back
Top Bottom