Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo eneo unaloliongelea mbona kama tayari lina majengo KFCAsubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa.
Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall kubwa imezuiwa na hii hali ya eneo zima kujaa maji. Nilipomuuliza mmiliki wa eneo hilo nyeti ni nani akaniambia ni Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar.
Nikakumbuka kuna video moja inatembea huko instagram inayomuonyesha mzee mmoja wa kizanzibari akiueleza uongozi wa Rais Mwinyi kwamba Nyerere alisema kiongozi wa juu kabisa ni lazima achague moja kati ya mali na utumishi wa watu anaowaongoza.
Video kama zile mara nyingi zinatolewa hadharani baada ya anayeiandaa kuwa ameshajihakikishia kuhusu hilo analolisema mbele ya watu. Mali na utumishi wa watu siku zote ni vigumu sana kwenda pamoja.
Hiyo Mall japo sijaiona ramani yake naweza kuhisi ukubwa wake utakuwa vipi kwa kutazama tu eneo lote ambalo litatumika kuijenga, namna lilivyoanzia huku barabarani likaenda mpaka kule karibu na barabara ya mzunguko inayotokea karibu na Maringo ikazunguka kule usawa wa Beach ya Kawe.
Ni eneo kubwa ambalo mpaka uwezo wa ujenzi umeweza kupatikana maana yake gharama ya ujenzi sio ndogo. Ndio hapa hizi kelele kwamba Mwinyi ni rais mwenye harufu nzuri ya utafutaji wa mali, zinaanza kuwa na mashiko, kama ni kweli hilo eneo linamilikiwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar.
Inawezekana zikawa ni tuhuma tu, zinazotokana na hulka yetu ya kitanzania. Hata Mama Sitti ambaye ni mzazi wa Rais Mwinyi aliwahi kuzushiwa eti analimiki lile jengo linalotizamana na mahakama ya Kisutu pale kwenye kona ya kuelekea posta mpya, ni tuhuma zilizokuwa zikisikika miaka ile mumewe alipokuwa Rais wa Tanzania.
Hizi ni tuhuma tu lakini la maana sana ni kwa serikali anayoiongoza kuweza kutafuta njia ya kuzijibu. Kwani wenye kutuhumu hufanya hivyo wakiongozwa na roho za chuki kwa Mheshimiwa, Njaa zikituzidi tunaanzisha habari za kumnyooshea kidole kiongozi fulani ilimradi tu kujifariji sisi wenyewe.
Wapuuzi wachache bado wanafikiri Magufuli ni diktetaMadikteta hupenda kuwarithisha Watoto wao Madaraka na huyu angefanikiwa kututawala hadi uzeeni na angemuachia Mwanae.
Sio mimi ni Historia ndio inasema hivyo.
View attachment 2805927
Mobutu alikuwa amemuandaa Kongolo
View attachment 2805929
Iddi Amini nae alikuwa anamgroom Mwanae.
Rais ajaye wa TanzaniaAsubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa.
Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall kubwa imezuiwa na hii hali ya eneo zima kujaa maji. Nilipomuuliza mmiliki wa eneo hilo nyeti ni nani akaniambia ni Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar.
Nikakumbuka kuna video moja inatembea huko instagram inayomuonyesha mzee mmoja wa kizanzibari akiueleza uongozi wa Rais Mwinyi kwamba Nyerere alisema kiongozi wa juu kabisa ni lazima achague moja kati ya mali na utumishi wa watu anaowaongoza.
Video kama zile mara nyingi zinatolewa hadharani baada ya anayeiandaa kuwa ameshajihakikishia kuhusu hilo analolisema mbele ya watu. Mali na utumishi wa watu siku zote ni vigumu sana kwenda pamoja.
Hiyo Mall japo sijaiona ramani yake naweza kuhisi ukubwa wake utakuwa vipi kwa kutazama tu eneo lote ambalo litatumika kuijenga, namna lilivyoanzia huku barabarani likaenda mpaka kule karibu na barabara ya mzunguko inayotokea karibu na Maringo ikazunguka kule usawa wa Beach ya Kawe.
Ni eneo kubwa ambalo mpaka uwezo wa ujenzi umeweza kupatikana maana yake gharama ya ujenzi sio ndogo. Ndio hapa hizi kelele kwamba Mwinyi ni rais mwenye harufu nzuri ya utafutaji wa mali, zinaanza kuwa na mashiko, kama ni kweli hilo eneo linamilikiwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar.
Inawezekana zikawa ni tuhuma tu, zinazotokana na hulka yetu ya kitanzania. Hata Mama Sitti ambaye ni mzazi wa Rais Mwinyi aliwahi kuzushiwa eti analimiki lile jengo linalotizamana na mahakama ya Kisutu pale kwenye kona ya kuelekea posta mpya, ni tuhuma zilizokuwa zikisikika miaka ile mumewe alipokuwa Rais wa Tanzania.
Hizi ni tuhuma tu lakini la maana sana ni kwa serikali anayoiongoza kuweza kutafuta njia ya kuzijibu. Kwani wenye kutuhumu hufanya hivyo wakiongozwa na roho za chuki kwa Mheshimiwa, Njaa zikituzidi tunaanzisha habari za kumnyooshea kidole kiongozi fulani ilimradi tu kujifariji sisi wenyewe.
Ni kweli
Mwinyi ana kashfa nyingi sana ,eti Baadhi ya watu wanataka huyu bwana ndio aje huku Bara.Asubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa.
Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall kubwa imezuiwa na hii hali ya eneo zima kujaa maji. Nilipomuuliza mmiliki wa eneo hilo nyeti ni nani akaniambia ni Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar.
Nikakumbuka kuna video moja inatembea huko instagram inayomuonyesha mzee mmoja wa kizanzibari akiueleza uongozi wa Rais Mwinyi kwamba Nyerere alisema kiongozi wa juu kabisa ni lazima achague moja kati ya mali na utumishi wa watu anaowaongoza.
Video kama zile mara nyingi zinatolewa hadharani baada ya anayeiandaa kuwa ameshajihakikishia kuhusu hilo analolisema mbele ya watu. Mali na utumishi wa watu siku zote ni vigumu sana kwenda pamoja.
Hiyo Mall japo sijaiona ramani yake naweza kuhisi ukubwa wake utakuwa vipi kwa kutazama tu eneo lote ambalo litatumika kuijenga, namna lilivyoanzia huku barabarani likaenda mpaka kule karibu na barabara ya mzunguko inayotokea karibu na Maringo ikazunguka kule usawa wa Beach ya Kawe.
Ni eneo kubwa ambalo mpaka uwezo wa ujenzi umeweza kupatikana maana yake gharama ya ujenzi sio ndogo. Ndio hapa hizi kelele kwamba Mwinyi ni rais mwenye harufu nzuri ya utafutaji wa mali, zinaanza kuwa na mashiko, kama ni kweli hilo eneo linamilikiwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar.
Inawezekana zikawa ni tuhuma tu, zinazotokana na hulka yetu ya kitanzania. Hata Mama Sitti ambaye ni mzazi wa Rais Mwinyi aliwahi kuzushiwa eti analimiki lile jengo linalotizamana na mahakama ya Kisutu pale kwenye kona ya kuelekea posta mpya, ni tuhuma zilizokuwa zikisikika miaka ile mumewe alipokuwa Rais wa Tanzania.
Hizi ni tuhuma tu lakini la maana sana ni kwa serikali anayoiongoza kuweza kutafuta njia ya kuzijibu. Kwani wenye kutuhumu hufanya hivyo wakiongozwa na roho za chuki kwa Mheshimiwa, Njaa zikituzidi tunaanzisha habari za kumnyooshea kidole kiongozi fulani ilimradi tu kujifariji sisi wenyewe.
Huyu jamaa inaonekana ni fisadi sana. Sijui wanajihakikishiaje kuwa wataendelea kuwa madarakani kwa muda wote wa maisha yao na mpaka wajukuu wao. Hawajui mambo yanaweza kugeuka overnight na wakajikuta wana hadhi nyingine kabisa. Ila hawa hata likitokea la kutokea nadhani wameshajiwekea fedha na vitega uchumi vingi sana nchi za kiarabu.Kuna ujenzi pia wa kiwanda kikubwa sana kilometres 2 hivi ukitoka Kibada kuelekea Kisarawe B kinatajwa kwamba ni cha kwake pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kuwa, ataishia kuongoza huko huko visiwani.Rais ajaye wa Tanzania
Naongelea eneo ambalo ukiwa Tanganyika Packers linakuwa kwa chini, ni huku kwenye hii barabara inayotoka maringo kwenda mpaka pale kwenye kipita shoto cha whitesands.Hilo eneo unaloliongelea mbona kama tayari lina majengo KFC
Mmetumwa kumchafua Rais Mwinyi kwa maslahi ya makundi yenu ya kisiasa.Asubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa chenye heka kadhaa.
Akaniambia ni kwa sababu ya mvua tu lakini kuna michakato ya ujenzi wa Mall kubwa imezuiwa na hii hali ya eneo zima kujaa maji. Nilipomuuliza mmiliki wa eneo hilo nyeti ni nani akaniambia ni Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar.
Nikakumbuka kuna video moja inatembea huko instagram inayomuonyesha mzee mmoja wa kizanzibari akiueleza uongozi wa Rais Mwinyi kwamba Nyerere alisema kiongozi wa juu kabisa ni lazima achague moja kati ya mali na utumishi wa watu anaowaongoza.
Video kama zile mara nyingi zinatolewa hadharani baada ya anayeiandaa kuwa ameshajihakikishia kuhusu hilo analolisema mbele ya watu. Mali na utumishi wa watu siku zote ni vigumu sana kwenda pamoja.
Hiyo Mall japo sijaiona ramani yake naweza kuhisi ukubwa wake utakuwa vipi kwa kutazama tu eneo lote ambalo litatumika kuijenga, namna lilivyoanzia huku barabarani likaenda mpaka kule karibu na barabara ya mzunguko inayotokea karibu na Maringo ikazunguka kule usawa wa Beach ya Kawe.
Ni eneo kubwa ambalo mpaka uwezo wa ujenzi umeweza kupatikana maana yake gharama ya ujenzi sio ndogo. Ndio hapa hizi kelele kwamba Mwinyi ni rais mwenye harufu nzuri ya utafutaji wa mali, zinaanza kuwa na mashiko, kama ni kweli hilo eneo linamilikiwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar.
Inawezekana zikawa ni tuhuma tu, zinazotokana na hulka yetu ya kitanzania. Hata Mama Sitti ambaye ni mzazi wa Rais Mwinyi aliwahi kuzushiwa eti analimiki lile jengo linalotizamana na mahakama ya Kisutu pale kwenye kona ya kuelekea posta mpya, ni tuhuma zilizokuwa zikisikika miaka ile mumewe alipokuwa Rais wa Tanzania.
Hizi ni tuhuma tu lakini la maana sana ni kwa serikali anayoiongoza kuweza kutafuta njia ya kuzijibu. Kwani wenye kutuhumu hufanya hivyo wakiongozwa na roho za chuki kwa Mheshimiwa, Njaa zikituzidi tunaanzisha habari za kumnyooshea kidole kiongozi fulani ilimradi tu kujifariji sisi wenyewe.
Tamaa ya mali inawaponza wakubwa wa Tanzania, udalali wa asilimia kumi kwenye miradi mikubwa.Mmetumwa kumchafua Rais Mwinyi kwa maslahi ya makundi yenu ya kisiasa.
Baba yake Kawa Waziri,balozi,rais Zanzibar,rais bara,alipostaafu akawa mkulima wa matunda kuuza arabuni,Mali za mzee asimamie nani!?..mzee ataacha kuwapush wanawe kiuchumi?!..ukiwa tajiri Haram kuwa kiongozi!?..sera za kufukarisha watu zilishashindwaKuna ujenzi pia wa kiwanda kikubwa sana kilometres 2 hivi ukitoka Kibada kuelekea Kisarawe B kinatajwa kwamba ni cha kwake pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wananunua huko nyie mlikua hampataki,mbali na mjini na kenge wengiNaongelea eneo ambalo ukiwa Tanganyika Packers linakuwa kwa chini, ni huku kwenye hii barabara inayotoka maringo kwenda mpaka pale kwenye kipita shoto cha whitesands.
Wanapaita Mbuyuni ni karibu na nyumba yake Rais Mwinyi kiwanja ni kile kinachofuata baada ya ukuta wa nyumba yake kama unarudi tena Maringo.
Chawa katika ubora wako!Raisi Mwinyi anafanya kazi kubwa na nzuri sana , hakika atakumbukwa kwa hiki anachokifanya , tatizo wale wezi waliokuwa wanaiibia nchi wamebanwa hawapati kile walichokuwa wanapata ndio wanaleta tuhuma zisizo na kichwa wala miguu...
Miaka3 mitatu ya raisi Mwinyi tunajivunia.
Naongelea eneo ambalo ukiwa Tanganyika Packers linakuwa kwa chini, ni huku kwenye hii barabara inayotoka maringo kwenda mpaka pale kwenye kipita shoto cha whitesands.