Zanzibar ya Rais Mwinyi na tuhuma za ufisadi unaoanzia juu kabisa

Hilo eneo unaloliongelea mbona kama tayari lina majengo KFC
 
Rais ajaye wa Tanzania
 
Mwinyi ana kashfa nyingi sana ,eti Baadhi ya watu wanataka huyu bwana ndio aje huku Bara.

Siwezi chagua mtu kama huyo kuwa Rais wangu,never labda mnichagulie.
 
Kama Waziri wake anaweza kujipa kandarasi ya mabilioni kwenye wizara anayoiongoza huko Zenjibar basi kubali yaishie hapo. Weshanifahamu weye?
 
Kuna ujenzi pia wa kiwanda kikubwa sana kilometres 2 hivi ukitoka Kibada kuelekea Kisarawe B kinatajwa kwamba ni cha kwake pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa inaonekana ni fisadi sana. Sijui wanajihakikishiaje kuwa wataendelea kuwa madarakani kwa muda wote wa maisha yao na mpaka wajukuu wao. Hawajui mambo yanaweza kugeuka overnight na wakajikuta wana hadhi nyingine kabisa. Ila hawa hata likitokea la kutokea nadhani wameshajiwekea fedha na vitega uchumi vingi sana nchi za kiarabu.
 
Hilo eneo unaloliongelea mbona kama tayari lina majengo KFC
Naongelea eneo ambalo ukiwa Tanganyika Packers linakuwa kwa chini, ni huku kwenye hii barabara inayotoka maringo kwenda mpaka pale kwenye kipita shoto cha whitesands.

Wanapaita Mbuyuni ni karibu na nyumba yake Rais Mwinyi kiwanja ni kile kinachofuata baada ya ukuta wa nyumba yake kama unarudi tena Maringo.
 
Mmetumwa kumchafua Rais Mwinyi kwa maslahi ya makundi yenu ya kisiasa.
 
Kuna ujenzi pia wa kiwanda kikubwa sana kilometres 2 hivi ukitoka Kibada kuelekea Kisarawe B kinatajwa kwamba ni cha kwake pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yake Kawa Waziri,balozi,rais Zanzibar,rais bara,alipostaafu akawa mkulima wa matunda kuuza arabuni,Mali za mzee asimamie nani!?..mzee ataacha kuwapush wanawe kiuchumi?!..ukiwa tajiri Haram kuwa kiongozi!?..sera za kufukarisha watu zilishashindwa
 
Wakati wananunua huko nyie mlikua hampataki,mbali na mjini na kenge wengi
 
Chawa katika ubora wako!
 
Nakumbuka kulikua na inshu kama hii miaka 10 iliyopita.ilikua ijengwe mall pale ostabay , katikati ya ubalozi wa marekani na etel. Kilichosaidi kusitishwa, ubalozi wamegoma kutokana na usama wa ubalozi wao, lakini pia kazi kubwa kuhamisha kituo cha police na tanesco. Vikwazo hivyo ndio vilifanya project hiyo isitishwe. Hiki kilikua kipindi cha jk.

Kipindi cha mkapa kunaprojet ya aina hiyo pale nyuma ya rosegorden, kalibu na ttcl. Nayo jk alivyoingia aliisitisha kwaajili ya usalama wa madishi yao ya mawasiliani (satellite).

Hawa viongozi wa kiafrika wakishashika madalaka wakishaiba hela za kutosha, wanakulupuka kutamani kufanyavitu vyaajabu bila ya kujua faida na hasara.
 
Ukiwa unatoka Round about ya Maringo unaelekea Mbezi beach eneo lipo kushoto linatazamana na maghorofa ya National Housing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…