Zanzibar 2020 Zanzibar ya sasa inahitaji Viongozi nje ya hawa Watoto wa waliowahi kuwa Marais; akina Mwinyi, Jumbe na Karume

Huo mtizamo wako

Rais Hussein Mwinyi
Makamu wa pili Makame Mbarawa.

Hii ni upende usipende Hussein Mwinyi ndiye Rais, na Mbalawa akishindwa kuwa makamu Zanzibar ni Waziri wa Ulinzi JMT
 
Kuwa mtoto wa rais kunakunyima vipi nafasi ya kuteuliwa kama vigezo vyote unavyo...
 
Rais wa Zanzibar kwa upande wa CCM ameshajulikana kama Sio Mbarawa basi Masauni. Hao watoto wa vigogo hawataamini watakavyopigwa chini.
 
Kama Wana Sifa Wapewe! Baba Zao Sio Wao. Kwani Ambao Hawakuwa Watoto Wa Marais Jipya Gani Walilofanya? Kama Abdul Wakiri, Salmin Amour Juma, Na Shein, Walifanya Kubwa Gani Likamzidi Aman Abed Karume Mtoto Wa Abeid Aman Karume?
 

Acha ujinga mkuu
 

hivi hufahamu kama Masauni ni mtoto wa kada Mkubwa wa CCM? hufahamu kama baba ake aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya Uchaguzi aliyevurugamatokeo kama Jecha?

Hufahamu kuwa mpaka hapo alipofika kisisasa ni kutokana na Nguvu ya baba ake?
 
hivi hufahamu kama Masauni ni mtoto wa kada Mkubwa wa CCM? hufahamu kama baba ake aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya Uchaguzi aliyevurugamatokeo kama Jecha?

Hufahamu kuwa mpaka hapo alipofika kisisasa ni kutokana na Nguvu ya baba ake?

Mbona na hao wengine Wawili akina Nahodha na Mbarawa nao hujawachambua kwa Chuki zako hizi za wazi wazi Kwake Mchapakazi Masauni?
 
Kwani katiba inasemaje? Unapokua na vinasaba na viongozi waliopita hauruhusiwi tena kugombea?
Naona Watu mnaotoka katika hizi Familia Tatu za akina Mwinyi, Jumbe na Karume sasa mnajitokeza na huu Uzi unawachoma kweli kweli. Poleni!
 
Jecha S.Jecha 59%
 
Allah atamfanyia atamfanyia wepesi Dr. Hussein na atakuwa rais ajaye wa zanzibar in 20 days time

Endeleeni Kujifurahisha na Kujidanganya. Wenye Maono yetu tumeshasema na kuonyeshwa zamani sana kuwa Profesa Mbarawa anapita huko.
 
Zanzibar mkoa inakuwaje na raisi cc Mh PINDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…