Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Yupi?Zanzibar inahitaji rais mlokole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi?Zanzibar inahitaji rais mlokole
Nadhani huu mtego alotegewa Jumbe, akaja Maalimu Seif na wale Magaidi basi na wewe umo. Ajenda ya kusema Bara sijui nini ni ya wazungu wanaotaka Mpemba aliyepo Mwanza afukuzwe kurudi kwao Zanzibar, Msukuma aliyepo chake chake afukuzwe arejee kwao Kishapu, Mzanzibar aliyemuoa Mnyamwezi na wanaishi Isevya Tabora basi watenganishwe na ndoa ife maana hao ni raia wa nchi mbili tofauti wanahitaji kukatiana VIZA ili kuishi Tanzania.
Kwa ufupi wazungu/waarabu wamekua wakitamani sana kuivuruga Zanzibar, na kama walitaka kufanikiwa maana watu kama wewe bado wapo. Hivyo Zanzibar inahitaji mtu anayetambua utu wetu na udugu wetu ktk Muungano (ndiyo maana Seif will never ever ever kuja kuwa rais wa Zanzibar).
Zanzibar inahitaji mtu mwenye maono ya Zanzibar ambayo mtoto wa kiume halindwi zaidi kuliko mtoto wa kike, Zanzibar ambayo dawa za kulevya ni adimu na au hazipatikani kabisa (funga drug dealers wote), Zanzibar ambayo hapa kazi tu, etc
CCM Watu wanaowaheshimu japo kuna muda wanawakosoa wameshayachoka sasa haya Majina ya sijui akina Mwinyi, Jumbe na Karume na badala yake wanataka Kuziona Sura mpya kama si ngeni ambazo nazo zitaiongoza Zanzibar kwa Mafanikio makubwa mno na yenye Tija.
Ninawaombeni CCM Mrithi wa Dkt. Ali Mohammed Shein anayemaliza muda wake atoke kwa Mmoja wa hawa niwatajao na ninaowakubali zaidi
1. Mbarawa 51%
2. Nahodha 39%
3. Masauni 10%
Tafadhali CCM wala msipoteze muda wenu kuwajadili sijui watoto wa akina Mzee Mwinyi, Jumbe na Karume kwani hawana tena jipya Kiuongozi.
hivi hufahamu kama Masauni ni mtoto wa kada Mkubwa wa CCM? hufahamu kama baba ake aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya Uchaguzi aliyevurugamatokeo kama Jecha?
Hufahamu kuwa mpaka hapo alipofika kisisasa ni kutokana na Nguvu ya baba ake?
Mhe Rais Paul MakondaYupi?
Naona Watu mnaotoka katika hizi Familia Tatu za akina Mwinyi, Jumbe na Karume sasa mnajitokeza na huu Uzi unawachoma kweli kweli. Poleni!
Jecha S.Jecha 59%CCM Watu wanaowaheshimu japo kuna muda wanawakosoa wameshayachoka sasa haya Majina ya sijui akina Mwinyi, Jumbe na Karume na badala yake wanataka Kuziona Sura mpya kama si ngeni ambazo nazo zitaiongoza Zanzibar kwa Mafanikio makubwa mno na yenye Tija.
Ninawaombeni CCM Mrithi wa Dkt. Ali Mohammed Shein anayemaliza muda wake atoke kwa Mmoja wa hawa niwatajao na ninaowakubali zaidi
1. Mbarawa 51%
2. Nahodha 39%
3. Masauni 10%
Tafadhali CCM wala msipoteze muda wenu kuwajadili sijui watoto wa akina Mzee Mwinyi, Jumbe na Karume kwani hawana tena jipya Kiuongozi.