Mungu amesikia yote yaliyotamkwa majukwaani.
Atawajibu kwa wakati nasi tunazidi kumuomba.
Mungu hajawahi kuwa wa .Chake Chake pekee !Mungu amesikia yote yaliyotamkwa majukwaani.
Atawajibu kwa wakati nasi tunazidi kumuomba.
Endelea kusubiri tuu, maana huna namna nyingine !Mm nasubir avunje jengo la Tanesco pale ubungo
Mbaya sana,halafu MTU huyo kila apitapo anaomba aombewe Kwa mungu.Mungu gani huyo wa kulipa visasi?Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Mbaya sana,halafu MTU huyo kila apitapo anaomba aombewe Kwa mungu.Mungu gani huyo wa kulipa visasi?
Terrible statement! Rais hatembei barabarani, hakutani na washindani wake kisiasa ana kwa ana, ndani ya dakika tano atatumia nini ili kupata jibu la huyu nayechelewa??Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
EvidenceMimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Unataka evidence gani??Evidence
Labda atamroga.... huwezi jua mtu anajiamini kiasi hicho yaani dk5Polisi huwa wana masaa 24 kumpeleka mtu mahakamani.....hiii dakika tano mhh....
Hujanielewa, nasema matamshi kama hayo ni ushahidi huko mbele ya safari, hatujui ya kesho!Unataka evidence gani??
Ok sawa mkuu!!Hujanielewa, nasema matamshi kama hayo ni ushahidi huko mbele ya safari, hatujui ya kesho!