Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
 
Mbaya sana,halafu MTU huyo kila apitapo anaomba aombewe Kwa mungu.Mungu gani huyo wa kulipa visasi?
 
Hivyo siyo visasi ni kuondoa tatizo. Asiye na nidhamu au uadilifu atatumbuliwa. Watumishi wa umma walijisahau sana wakawa mabosi wa wananchi badala ya wahudumu wao.
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Terrible statement! Rais hatembei barabarani, hakutani na washindani wake kisiasa ana kwa ana, ndani ya dakika tano atatumia nini ili kupata jibu la huyu nayechelewa??
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Evidence
 
Back
Top Bottom