CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
AmenNingehakikishiwa usalama wa id yangu humu jf ningetoboa makandokando yote ya watu aina ya malaika watakatifu ila hapa ndo tupo gizani wakosoaji tunawindwa usiku na mchana. Mungu awalaani wote wenye mioyo ya chuki kwa wanadamu wenzao.
Ya kuambiwa changanya na yakoMimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Na ubarikiwe sanaAmen
Dont worry,mtaelewa tuuuuMimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Atakayeleta fyoko fyoko uniambie hapa pana mshikamano wa nguvu karudisha mshikamano
Ningehakikishiwa usalama wa id yangu humu jf ningetoboa makandokando yote ya watu aina ya malaika watakatifu ila hapa ndo tupo gizani wakosoaji tunawindwa usiku na mchana. Mungu awalaani wote wenye mioyo ya chuki kwa wanadamu wenzao.
Ni aibu sana kiongozi anayesisitiza aombewe kila siku alafu anahubiri chuki na visasi.
Upuuzi upi? Mtumishi anayelipwa kwa kodi yangu halafu ni mzembe au mla rushwa ni wa nini? Tupa kule!Tatzo haliondelewi kwa nguvu ww wakati mwingne busara itumike acha kupelekwapelekwa kisa ww ni kada kila upuuzi unasuport 2 tumia elimu yako kufikiri bro
Polisi huwa wana masaa 24 kumpeleka mtu mahakamani.....hiii dakika tano mhh....
Ungemuuliza idi amin, sadam Hussein, Adolf h nk wangekupa uzoefu waoMimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Hata shetani nae ni mungu kwenye utawala wakeMbaya sana,halafu MTU huyo kila apitapo anaomba aombewe Kwa mungu.Mungu gani huyo wa kulipa visasi?