Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Hata mwalim alishtuka akawaambia zidumu fikra "sahihi" za mwenyekiti wa chama
 
Kuna mengi mazuri yenye faida kwa Taifa letu anayoongea Rais wetu Mhe.John Pombe Magufuli , lakini kuna baadhi ya watu ambao naweza kuwaita ni wachochezi ambao wananukuu ka kipengele kadogo na kuanza kumshambulia Rais.

Tafadhali tuulishe umma mambo yenye faida ambayo watanzania watanufaika nayo si kuandika mambo negative kwa Rais.

Kwanza mengine Rais anayaongea kama kufurahisha tu . Tafadhali watu wenye tabia hizi waache.
UDOM NI VI.LA.ZA.kwahiyo unataka kusema rais anaongea mambo mengine yana faida na mengine hayana faida?
 
Hivi huyu jamaa hajui kama ni yeye ndiye atakayeleta vita hapa tz kwa ubaguzi anaofanya.
 
Muungano wetu ndio umoja wetu. Adui zetu hawaupendi huu muungano. Tutaulinda muungano huu kwa nguvu zetu.
Toa ujinga muungano unakusaidia niini?
Kwa WA Zenji umewaongezea nini?
 
This president is EITHER a very good actor --> He does not believe what he says or does.
OR
He just has no clue -> He does not know that he does not know.

And believe me, by this observation I am actually raising his rank, for there is a big chance is worse than this.
 
Ni baada ya kuwepo sintofahamu kubwa tangia uchaguzi uliokuwa na vijimambo Vingci kuisha,amesema anataka Umoja,kwa uhakika speech zake zimejaa Hekima ,busara na matumaini makubwa kwa wananchi wa Zanzibar,ni matumaini yangu kuwa visit yake imeketa mshikamano mkubwa baina ya wanachama wa CCM na CUF,hakika rais tumempata umoja wa kitaifa Zanzabar kuimarika Mara dufu Ndimi Cheyo Mlema,Prospectus DC
Una akili sana japo una matatizo kidogo kwenye spelling!
 
Kweli kila mtu ana mtazamo wake. Hata hivyo, maoni yangu mimi, baadhi ya kauli za mkuu huko zenji hazijengi wala kuhuisha umoja wa kitaifa.
Uko sahihi, na kama watu wengi wangekuwa kama wewe wangemsaidia, tatizo tuna watu wengi ambao hata wakiona kauli zake hazijengi wanataka waonyeshe kuwa zinajenga!
 
Kuna vitu vingine anatuchanganya hasa, anasema yeye hawezi kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumsalimia wakati huohuo anahubiri watanzania tushikamane! Hapo unaanzaje kutetea? Kiukweli hotuba zake zinanitia huzuni, nakosa furaha na amani!
Huyo ndie Magufuli. Yeye ameamua kutetea chama chake kwa hali yoyote ile. Wazanzibari tumeikataa CCM. Wala hamna namna ya kuifufua hapa visiwani. Magufuli amejifanya katuni mbele ya halaiki. Mabaraza yote yanamuongelea raisi kwa ujinga na utumbo aliyotuletea huku. Sisi ni wastaarabu sana hatuna haja kuja kusomeshwa na Magufuli. Kama raisi vipi anakuwa na akili kama za mvuta bangi. Namshangaaaa.
 
Magufuli anafikiri Pemba ni chato ambako bado wanafikiri nyerere ndo mtawala...
Ati anawambia huyu kajifungia hotel wala hajasafiri kwenda ulaya wala wapi. Anawadanganya kwa mapicha..du...OMG
 
Magufuli anafikiri Pemba ni chato ambako bado wanafikiri nyerere ndo mtawala...
Ati anawambia huyu kajifungia hotel wala hajasafiri kwenda ulaya wala wapi. Anawadanganya kwa mapicha..du...OMG
wao wako radhi na uongo wa seif tu ! .......maana wapemba wanaamini PEMBA itakuwa dubai bila kufanya kazi
 
Rais mengine awachie wasemaji wa kichama,kwa kauli hio anawakejeli wazanzabari.
 
Back
Top Bottom