ZANZIBAR: Yanga SC yang'oka Mapinduzi Cup baada ya Chirwa kumkabidhi mpira kipa

ZANZIBAR: Yanga SC yang'oka Mapinduzi Cup baada ya Chirwa kumkabidhi mpira kipa

Chirwaaa
Mtu kaenda kwao Zambia kulima kalud anapewa nafac
 
Tupeni matokeo maana baba (Simba)alikufa kwa Ukimwi,mama (Yanga) anaponaje?Tupeni matokeo wadau
 
Aliyemuua mme, ana uwezo wa kumuua mke pia. Tatizo hawa wake zetu walikuwa na kiherehere sana.

Ngoja warudi nyumbani waje watusongee ugali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom