Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
URA ametinga fainali yanga ametoka kwa matuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga inarudi kesho na boti ya AzamHuyu mwenye thread kaenda ikulu kumpongeza rais au? Mbona hatupi apdates.
Ndo uwezo wake ulipofikia Chirwaaa ChirwaaaChirwaaa, pumbavu sana huyu chirwa.
Imeshakupa furaha. Piga makofi na vigelegele....Yanga timu yangu nipe furaha
Na Yanga wanaangalia kwenye luninga...Simba wanaangalia kwenye TV tu hapa!!
Yangekuwa maajabu ya mwaka...Sikutegemea Yanga kuitoa timu iliyoitoa Simba.
Kwa kweli, logics imefanya kazi.Yangekuwa maajabu ya mwaka...
Aliyemuua mme, ana uwezo wa kumuua mke pia. Tatizo hawa wake zetu walikuwa na kiherehere sana.Kwa kweli, logics imefanya kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aliyemuua mme, ana uwezo wa kumuua mke pia. Tatizo hawa wake zetu walikuwa na kiherehere sana.
Ngoja warudi nyumbani waje watusongee ugali