Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Usisingizie kiswahili, sema hujui makachu ni nini tukueleweshe. Watoto wa uswazi hamuwezi kuelewa mambo ya mjini.Kiswahili gani hicho mkuu ?
Makachu ndo Nini🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisingizie kiswahili, sema hujui makachu ni nini tukueleweshe. Watoto wa uswazi hamuwezi kuelewa mambo ya mjini.Kiswahili gani hicho mkuu ?
Makachu ndo Nini🤔
Mashemeji wanachabo tu.Kuna bideo moja mmama ina trendile nguo khaaa uchi kabisaaa....lazima wafanye hivyo
View attachment 3183252
mkuu inaonekana unakichwa kidogo mno halafu hauna kichogo, halafu itakua unacheza sana draft na umezoea ligi za kipumbafu .Dini kwenu imefanikiwa kuwa control kielimu na kiuchumi
Uchi uko wapi hapo
Mwenye shida ni anayetamani siyo anayeruka kiuchiuchiKuna bideo moja mmama ina trendile nguo khaaa uchi kabisaaa....lazima wafanye hivyo
View attachment 3183252
Kwa hali hii wako sahihi kabisa,Kuna bideo moja mmama ina trendile nguo khaaa uchi kabisaaa....lazima wafanye hivyo
View attachment 3183252
Daa mkuu umenichekesha sana , sina kichwa kama ulicho kusema, sijawai kucheza draft la kiniweni tokea nizaliwe mpaka utuuzima huu, Yan sina tabia za kiswahili kabisa.mkuu inaonekana unakichwa kidogo mno halafu hauna kichogo, halafu itakua unacheza sana draft na umezoea ligi za kipumbafu .
Hapo hakuna dini hakuna chochote hio ni public place halafu wewe unaenda uchi hapo kuna watu wapo na wazazi wao au watoto wao jifunze kuvaa kwa adabu maeneo ya umma utachikia tu watu bure
Seriously kuna tatizoKuna tatizo la akili kubwa huwezi kuruhusu utalii halafu mavazi ya.beach.wear upige marufuku
Achana na hao wanafiki wafia diniUchi uko wapi hapo
Itakua Kiswahili Cha kihuni mkuuUsisingizie kiswahili, sema hujui makachu ni nini tukueleweshe. Watoto wa uswazi hamuwezi kuelewa mambo ya mjini.
MashaAllah 🥸🥸🥸Kuna bideo moja mmama ina trendile nguo khaaa uchi kabisaaa....lazima wafanye hivyo
View attachment 3183252
Ilitakiwa watoe muongozo wa mavazi.Kuna bideo moja mmama ina trendile nguo khaaa uchi kabisaaa....lazima wafanye hivyo
View attachment 3183252