Zanzibar yapiga marufuku upigaji wa makachu Forodhani hadi serikali itakapoandaa utaratibu maalum wa shughuli hiyo

Zanzibar yapiga marufuku upigaji wa makachu Forodhani hadi serikali itakapoandaa utaratibu maalum wa shughuli hiyo

Dini kwenu imefanikiwa kuwa control kielimu na kiuchumi
mkuu inaonekana unakichwa kidogo mno halafu hauna kichogo, halafu itakua unacheza sana draft na umezoea ligi za kipumbafu .
Hapo hakuna dini hakuna chochote hio ni public place halafu wewe unaenda uchi hapo kuna watu wapo na wazazi wao au watoto wao jifunze kuvaa kwa adabu maeneo ya umma utachukia tu watu bure
 
mkuu inaonekana unakichwa kidogo mno halafu hauna kichogo, halafu itakua unacheza sana draft na umezoea ligi za kipumbafu .
Hapo hakuna dini hakuna chochote hio ni public place halafu wewe unaenda uchi hapo kuna watu wapo na wazazi wao au watoto wao jifunze kuvaa kwa adabu maeneo ya umma utachikia tu watu bure
Daa mkuu umenichekesha sana , sina kichwa kama ulicho kusema, sijawai kucheza draft la kiniweni tokea nizaliwe mpaka utuuzima huu, Yan sina tabia za kiswahili kabisa.

Public space ziko za aina nyingi kama , green spaces, sports spaces, library.
Beaches baadhi Zina wawekezaji ,Yan ziko kibiashara Sasa ACHA huo udini wako na ushamba
 
Kuna siku nilikua naongea na sheikh mmoja hivi akawa ananihusia kuhusu mambo mengi ya Kidunia kuanzia kwenye michezo, burudani hadi ibadani.

Nikamuuliza sheikh wangu huoni kama tunatakiwa kufuata yote hayo maisha ya mwanadamu hapa duniani yatakuwa magumu?

Jibu lake akanijibu ndivyo inavyotakiwa.

Dubai na Saudia taratibu wanaanza kutenganisha taratibu za dini na taratibu za kiserikali.

Ulaya na America wanaongoza kwa kuvaa mavazi ya hovyo hasa wanawake lakini fuatilia nchi zipi zinaongoza kwa matukio ya ubakaji na ulawiti.

Utagundua imani haipo machoni, imani ipo moyoni. Ukimchukulia mwanamke ni chombo cha Starehe hata ausitiri mwili wake vipi utamtamani tu.

Upande wetu tunaamini majaribu ni mtaji. Kuyashinda majaribu ni ushindi mkubwa kwetu. Imagine umefunga halafu unamuona Mustafa anajipigia zake mihogo unatamani umtie bakora kisa anakutamanisha.

Kama mtihani mdogo kama huo unakushinda, je utaweza kuvumilia ukiuona upaja wa pisi kali na mmebaki wawili tu nyumbani mkeo yupo kazini?

IKO WAPI IMANI YAKO?
 
Back
Top Bottom