Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Udini ukianza hakuna kitakachoenda sawa, tusubiri damu kumwagika na vikundi vya kigaidi
 
Kwa hiyo Zanzibar tutakuwa na siku zetu za mapumziko ya sikukuu tofauti na Tanzania bara!

Vipi kuhusu watumishi wa umma wanaohudumu maeneo ya Zanzibar katika mambo ya muungano kama (Polisi, wanajeshi, uhamiaji nk) hao katika hizo sikukuu watakaa nyumbani au watakwenda kazini?
 

Tanzania bara ni nchi gani ? Kwa nini mnaogopa kusema Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…