Wameanza tena, Hawa ndugu zetu, husubiliiii, harafu uanza madai yao ya kipuuzi, sasa tutatumia kalenda ngapi katika nchi moja!! enzi za Mkapa, walitaka wanafunzi wa kike shuleni wavae hijabu, wakataka polisi na wanajeshi wakiislam wavae hijabu,
Wakataka siku ya ijumaa iwe nusu siku, watoto waruhusiwe kurudi majumbani na kwenda kuswali,
Lazima nchi iweke mipaka kati ya dini na issue za nchi/state,
Zenj, ukikutwa unakula wakati wa mfungo ni kosa la jinai!!watu wanaona Wana haki ya kukushambulia.
Political Islam ikipewa nafasi, itazusha balaa, nilisoma na vijana kutoka Zenj pale UD, 1999, walitaka darasa wanalofanyia ibada, liwe kama msikiti, asiruhusiwe kuingia mtu mwingine!! imagine that, demanding to change the public premises to cater for religious needs of one group!! Waafrika tumelogwa