Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Wameanza tena,Hawa ndugu zetu,husubiliiii,harafu uanza madai yao ya kipuuzi,sasa tutatumia kalenda ngapi katika nchi moja!!enzi za Mkapa,walitqka wanafunzi wa kike shuleni wavae hijabu,wakataka polisi na wanajeshi wakiislam wavae hijabu,
Wakataka siku ya ijumaa iwe nusu siku,watoto waruhusiwe kurudi majumbani na kwenda kuswali,
Lazima nchi iweke mipaka kati ya dini na issue za nchi/state,
Zenj,ukikutwa unakula wakati wa mfungo ni kosa la jinai!!watu wanaona Wana haki ya kukushambulia.
Political Islam ikipewa nafasi,itazusha balaa,nilisoma na vijana kutoka Zenj pale UD,1999,walitaka darasa wanalofanyia ibada,liwe kama msikiti,asiruhusiwe kuingia mtu mwingine!!imagine that,demanding to change the public premises to cater for religious needs of one group!!Waafrika tumelogwa
Ni ujinga na upuuzi ukiendekezwa itakuja kuleta shida badae..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Naona rais Mwinyi anafanya siasa za maji taka zenjibia hii ni hatari Sana maana wavaa kobazi hawata chelewa kuanzisha makundi ya ajabu ajabu
 
Yaani sehemu yeyote pakijaa waislam wengi hiyo ua sio sehemu salama kuishi
Mimi kinacho nipa wasiwasi na hawa ndugu zetu mara nyingi ni watu wa ovyo saana

Gulf countries vipi? Kuna machafuko?
North countries je?

Congo vipi? Kuna amani?
South afrika je?
Msumbiji je?

Nchi za kiislamu zilizopata machafuko, angalia kwanza chanzo chake ni nini kabla hujaongea.

Uislamu ni amani bwana, refer ottoman empire ujionee, others mpaka wamesilimu.
 
Wale mapadri waliokuwa wanauliwa na kumwagiwa tindikari..walimwagiwa wakiwa wapi vile??

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wametumia Demokrasia yao vizuri kabisa.

Maana hata kura ikipigwa hilo suala lingepita hapo Zanzibar.

Tatizo ni kuwa wakristo wakitumia demokrasia hiyo hiyo kuna watu wataumia mioyo
 
Wale mapadri waliokuwa wanauliwa na kumwagiwa tindikari..walimwagiwa wakiwa wapi vile??

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Hebu nikuulize swali, maana huwa mnaongea vitu kwa kulazimisha. Oman, Qatar, Saudi Arabia, Emirates, Bahrain na kuwait, zote hizi ni nchi za kiislamu, je! Ulishawahi kusikia ama kushuhudia machafuko ndani ya nchi izo? Ila tumeshuhudia iraq, Afghanistan, libya na Syria, sehemu ambazo marekani na washirika wake wametia mguu pale, hali ikoje kwa sasa!!
 
Kwanini hutaki kujibu swali langu la msingi..unaanza kuniletea mifano..jibu swali langu kwanza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Pongezi kwa Serikali ya Mapinduzi znz kwa kuthamini na kujali imani za wananchi.
Hakuna ubaya wowote, wala msisikilize tabia za wapuuzi wachache.
 
Siku yenyewe bado ina utata kabisa, Sijawahi kukubali misimamo ya ofisi za Mufti TZ. Palihitajika midahalo ya uwazi kabisa ili kuamua siku hiyo ni ipi kwanza.
 
Back
Top Bottom