Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
- Thread starter
-
- #21
Tupe aya au Hadith inayosema kuwa Mwaka mpya wa Kiislam unapaswa kuwa mapumziko.
Usikute mmeona Manaswara wanapumzika ule mwaka wao na nyie mkaiga ili muwe sawa.
Kwanini mwaka wa kiserikali usiwe siku ya mapumziko?
Namsapot mwanaJF aleanzisha uzi kuwa watu wanaoshika imani akili kuna dizain zinashuka!Imani ndio ugonjwa mbaya kabia wa akili kuwahi kuikumba dunia
Si kweli ni njaa ndiyo ugonjwa mbaya, huyo Bwana anatafuta kiki kwa kuingia madarakani kwa njia haramu Za kuuwa watuImani ndio ugonjwa mbaya kabia wa akili kuwahi kuikumba dunia
Kwani zaidi ya kuwalipa mikopo na kuwalipia bili za umeme na kuwasomesha kwa bodi ya mikopo, ni kipi mnatufaidisha nyie wa urojo?Si mtuachie nchi yetu Tu , uvamizi wa kazi gani Na maneno makali. Ugaidi mnao nyinyi mliotuvamia Na kutuuwa Na kila uchaguzi mnakuja kuendeleza mauwaji
Naongelea ugonjwa wa akiliSi kweli ni njaa ndiyo ugonjwa mbaya, huyo Bwana anatafuta kilo kwa kuingia madarakani kwa njia haramu Za kuuwa watu
Hao watakuwa mzigonKwa hiyo Zanzibar tutakuwa na siku zetu za mapumziko ya sikukuu tofauti na Tanzania bara!
Vipi kuhusu watumishi wa umma wanaohudumu maeneo ya Zanzibar katika mambo ya muungano kama (Polisi, wanajeshi, uhamiaji nk) hao katika hizo sikukuu watakaa nyumbani au watakwenda kazini?
AiseeeTaja kikundi cha kigaidi ambacho sio cha waislam
Wameanza tena, Hawa ndugu zetu, husubiliiii, harafu uanza madai yao ya kipuuzi, sasa tutatumia kalenda ngapi katika nchi moja!! enzi za Mkapa, walitaka wanafunzi wa kike shuleni wavae hijabu, wakataka polisi na wanajeshi wakiislam wavae hijabu,
Kwani zaidi ya kuwalipa mikopo na kuwalipia bili za umeme na kuwasomesha kwa bodi ya mikopo, ni kipi mnatufaidisha nyie wa urojo?
Kuna watumishi hawanaga hizi sikuKwa hiyo Zanzibar tutakuwa na siku zetu za mapumziko ya sikukuu tofauti na Tanzania bara!
Vipi kuhusu watumishi wa umma wanaohudumu maeneo ya Zanzibar katika mambo ya muungano kama (Polisi, wanajeshi, uhamiaji nk) hao katika hizo sikukuu watakaa nyumbani au watakwenda kazini?
[emoji38]Tupe aya au Hadith inayosema kuwa Mwaka mpya wa Kiislam unapaswa kuwa mapumziko.
Usikute mmeona Manaswara wanapumzika ule mwaka wao na nyie mkaiga ili muwe sawa.
Bila shaka unamuongelea Christopher Mtikila.Baada ya kusoma uzi huu nikamkumbuka mchungaji machachari alokuwa akipigania maslahi ya #wao wanzanzibar sisi #Wadanganyika mwenye kukumbuka jina lake ebu nikumbushieni wakuu