Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Ni ujinga na upuuzi ukiendekezwa itakuja kuleta shida badae..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Naona rais Mwinyi anafanya siasa za maji taka zenjibia hii ni hatari Sana maana wavaa kobazi hawata chelewa kuanzisha makundi ya ajabu ajabu
 
Yaani sehemu yeyote pakijaa waislam wengi hiyo ua sio sehemu salama kuishi
Mimi kinacho nipa wasiwasi na hawa ndugu zetu mara nyingi ni watu wa ovyo saana

Gulf countries vipi? Kuna machafuko?
North countries je?

Congo vipi? Kuna amani?
South afrika je?
Msumbiji je?

Nchi za kiislamu zilizopata machafuko, angalia kwanza chanzo chake ni nini kabla hujaongea.

Uislamu ni amani bwana, refer ottoman empire ujionee, others mpaka wamesilimu.
 
Wale mapadri waliokuwa wanauliwa na kumwagiwa tindikari..walimwagiwa wakiwa wapi vile??

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wametumia Demokrasia yao vizuri kabisa.

Maana hata kura ikipigwa hilo suala lingepita hapo Zanzibar.

Tatizo ni kuwa wakristo wakitumia demokrasia hiyo hiyo kuna watu wataumia mioyo
 
Wale mapadri waliokuwa wanauliwa na kumwagiwa tindikari..walimwagiwa wakiwa wapi vile??

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Hebu nikuulize swali, maana huwa mnaongea vitu kwa kulazimisha. Oman, Qatar, Saudi Arabia, Emirates, Bahrain na kuwait, zote hizi ni nchi za kiislamu, je! Ulishawahi kusikia ama kushuhudia machafuko ndani ya nchi izo? Ila tumeshuhudia iraq, Afghanistan, libya na Syria, sehemu ambazo marekani na washirika wake wametia mguu pale, hali ikoje kwa sasa!!
 
Kwanini hutaki kujibu swali langu la msingi..unaanza kuniletea mifano..jibu swali langu kwanza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Pongezi kwa Serikali ya Mapinduzi znz kwa kuthamini na kujali imani za wananchi.
Hakuna ubaya wowote, wala msisikilize tabia za wapuuzi wachache.
 
Siku yenyewe bado ina utata kabisa, Sijawahi kukubali misimamo ya ofisi za Mufti TZ. Palihitajika midahalo ya uwazi kabisa ili kuamua siku hiyo ni ipi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…