BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Halafu Tanganyika wenye umeme wao bei ziko juu balaa na wamekataa kushusha licha ya kukamilika bwawa la Mwl Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea na Kodi ya jengo 2000 kila mweziAtakayetaja asisahau na kiwango cha tozo za REA na maendeleo mengine ya nchi.
Unaelewa mada iliyoonhelewa kuongezeka kwa bei za umeme au unakurupuka mkuuHaya ndio matunda ya bwawa la Rufiji kwa wenye maarifa acha wadanganyika wakamuliwe hadi mbupu zikonde.
Hata kama imeongezeka, Linganisha na bara kwao Tsh 290 huku 350Unaelewa mada iliyoonhelewa kuongezeka kwa bei za umeme au unakurupuka mkuu
356/=.Hata kama imeongezeka, Linganisha na bara kwao Tsh 290 huku 350
Itakuwa Tanesco wameridhia, wangepunguza na deni lao sasa.Wameongea na wazalishaji wa umeme au wamejiamulia tu ? 😏
Unavyopenda kula kula utapaweza wewe wakati wa mfungo mtukufu? Wa Ramadan? 😂Natafuta kiwanja zanzibar
Sitakula hadharani najifungia ndani nashindilia chakula cha kutosha.Unavyopenda kula kula utapaweza wewe wakati wa mfungo mtukufu? Wa Ramadan? 😂
Inshallah umepata dada nipo makunduchi njia ya kwenda mchambawima takuoa mie karibu 😋😋😋Dah sio fair, nipate hata mume basi
Akufe tu mkuu...😶
Bonge la zali hili. Nakuja PM baby wanguInshallah umepata dada nipo makunduchi njia ya kwenda mchambawima takuoa mie karibu 😋😋😋
Wanakula matunda ya StiglersMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme kisiwani humo ambapo zitaaza rasmi Januari 20, mwaka huu.
View attachment 3206161
Kwa mujibu wa Zura, ilipokea maombi ya kubadilisha bei za umeme kutoka Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya matumizi ya umeme Zanzibar.
Taarifa iliyotolewa na Zura leo Januari 18, 2025, bei hizo zimetoa punguzo la Sh190 kwa watumiaji wadogo ambao walikuwa wakilipa Sh480 kwa uniti kila wanapovuka matumizi ya uniti 50 kwa mwezi ambapo kwa sasa watalipa Sh290 badala ya Sh480.
Meneja wa kitengo cha Uhusiano Zura, Mbaraka Haji amesema tozo ya kutoza huduma kwa watumiaji wadogo kuanzia unit 0 hadi 50 itaendelea kuwa Sh2,100 huku bei ya kuungiwa kwa uniti moja ikiongezeka kutoka Sh79 hadi Sh84.
Wateja wenye matumzi ya kawaida wenye matumzi ya uniti moja hadi 1,500 bei ya kuungiwa kwa uniti moja imepanda kutoka Sh266 hadi Sh280 huku kila uniti inayoongezeka ikitoka Sh288 hadi Sh310 na tozo ya kutoa huduma itaendelea kuwa Sh2100.
Potelea mbaliMwaka wa uchaguzi
Mchumba navaa bwanga na yebo za gorofa nikakusubirie feri 😋😋😋Bonge la zali hili. Nakuja PM baby
Mchumba navaa bwanga na yebo za gorofa nikakusubirie feri 😋😋😋Bonge la zali hili. Nakuja PM baby
Chochote unachotaka. Niandalie Mandi na urojo la aziziMchumba navaa bwanga na yebo za gorofa nikakusubirie feri 😋😋😋
Utanipatia nini 😍😍
Utakula uache mchumbaChochote unachotaka. Niandalie Mandi na urojo la azizi