Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

umewasahau makomando, baraka da prince, rubby
 
haha sasa unamwambia nani matatizo yako mkuu pia sisi tunayo zaidi yako ila yako ya kujitakia.

Pole lakini utafika tu

Ukisikia u hanith.i na ushog.a ndio huu unaoleta ww humu kwani nini maana ya forum ?? Kuandika my thoughts ndio naleta matatzo yangu ?? How are my problems connected here ??

Heb sikiza bwana mdgo usitumie kichwa kufugia nywele tu. Na ujue kuna jela na guest. Acha tabia na itikadi za kushadadia wanaume. I am tryna tell u to man up enough nd be logic.
 
kaka acha kukariri kwa kudhani vile wewe unavyovuja mijasho kutafuta 10,000/= kwa mwezi ukadhani wote wa hivo wengine tumeshajijengea misingi imara kama ukuta wa berlin ktk maisha,na wewe usiyeingia kwenye starehe unaendelea kuumia na nafuu huipati

asante kaka...
 
We boya kweli....nijinyonge kwan ananiweka mjini yule ?? Atapewa credit na mburulaz like u....ila mpaka naingia kaburini akae akijua mi simkubali hata kdgo. I never will. Good for him.
Mkuu nimependa sentensi yako hiyo ya "good for him" na kwa umati wa jana nimegundua kuwa kumbe bifu linalazimishwa huku mitandaoni lakini wasanii wenyewe wako full peace watu kibao full nyomi kama tumeingia bure.Mimi ninayeingia kila starehe tamu hapa mjini bado niko juu kimaisha x 1000 kuliko ambao nawajua hawaingii kwenye starehe
 

Wachaaa.... Hongera na we pia. Endelea kua juu hvyo hvyo.
 
Kwa kuzingatia na kupoteza muda na kufuatilia matukio ya kipuuzi kama haya....naanza kuamini kuwa watanganyika wengi wana mapungufu ya akili.....

wema alisema tatzo IQ tukamshambulia but ni tatzo kuna ambao hawajalipa kodi walikopanga godoro hawana but walihakikisha wanaenda. kula raha kwa uwezo wako
 
Hongera diamond kwa kuwa nembo ya taifa, hongera kwa kupiga show ya kihistoria, ambapo kiingilio ni mil 3
 
I am not a type to pretend. Huwez lazmisha mtu akawa ur fan..sawa anapiga pesa na ana mafanikio ila binafsi bado na sidhani kama itakuja wakat ni appreciate kazi zake. NO !!

Basi utakuwa na ........ binafsi!
 

pole hater inaonesha umeumia sana ila ndio ujumbe umefika na hiyo ndio ilikua mantiki yangu. asante kwa matusi
 
Hivi mtu unatoa pesa yako, halafu eti unakwenda kwenye shoo ya mtu ili umlinganishe na mtu mwingine, huu si ushamba na upuuzi? Watanzania tutabadilika lini kama staili ya maisha ndio haya ya kimajungu majungu namna hii.




 
Kik tu inatafutwa hapo hamna lolote.
Nani aliyemshauri kuvaa hivyo? Viatu yes, the rest big NO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…