Ametaka tu mjue kuwa mnalipiwa kodi na mtu ambaye hawajibiki kwenye malezi ya watoto wake.zari si ndio huwa anajitapa yeye ni independent hahitaji msaada wala hajali kuhusu msaada kwenye malezi ya watoto.?
Na kama miaka yote hiyo Diamond hatoi mpunga na yeye ameweza kuwapa mahitaji yao kulikuwa na haja gani ya yeye kuja kulalamika sahizi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapa nimejifunza kitu kiimani,[emoji23][emoji23][emoji23] bosslady lakin ana haki ya kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohh kumbe shida ni urahia wa watoto....nimeanza kupata picha sasa.Yeye kataka kushindana na mwanaume wake,haiwezekani ukambadilisha uraia mtoto bila kumshirikisha mwanaume,kisa una hela alafi mwanaume akuchekee
Mbona Hamisa sasa hivi halalamiki na mtoto huwaga anampeleka kwa baba yake siku moja moja,yy mtoto kambadilisha uraia kilazima na kwa baba yao hutaki kuwa peleka.Mbona hajaumia mwaka jana alivyo kabizi pikipiki kwa bodaboda wa Tandale,kutoa matank kwa baadhi ya shule za tandale pamoja na Insurance.
Yeye tatizo anajiona ana hela,yeye kiburi kakutana na jeuri na ndio maana baadhi ya wanaume tunaogopa kuoa wanawake wenye hela.
Ila kwanini mtu unakubali ugomvi wa baba na mama uharibu uhusiano wako na watoto??Ooohh kumbe shida ni urahia wa watoto....nimeanza kupata picha sasa.
Ndo maana nashangaa baba gani hajali watoto wake hata kidogo...sasa nimeelewa kilicho nyuma ya pazia.