Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

The food which was refused to be eaten by Kings and Queens is now being eaten by cats and dogs. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Diamond ndio wa kulaumiwa hapa..km ana cheat c acheat kimya kimya ....mjinga kbsa yani...tatizo pia linakuja una cheat na naniii....anaocheat nao ndio hao wapenda kick..wt next
Yeah.. Kucheat kupo tuu, friend game hazikwepek sometimes....kisela
Ila heshima muhimu, heshima kwa mke\mchumba muhimu...
Haina sababu ajue au ahisi, hilo ni kosa kubwa.
Kucheat hulka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwa Hiyo Mme furahi mwanamke mwenzenu kufanyiwa mauza uza????
tatizo nyodooo!!

mwanamke usijione wewe ndo kila kitu!

eti umemuweza mwanaume!

umewakalisha wote

nyodo,dharau na jeuri kwa wenzio mpk kwa wakwe!

As if Huyo mwanaume ulimkuta virgin

Alizidi sana nyodo!
Acha mobeto amkalishe!
 
Yeah.. Kucheat kupo tuu, friend game hazikwepek sometimes....kisela
Ila heshima muhimu, heshima kwa mke\mchumba muhimu...
Haina sababu ajue au ahisi, hilo ni kosa kubwa.
Kucheat hulka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kijitu km hamisa kitoto cha tandika kimesoma kata tandika unategemea dai amlale apige kimya mweeeeh[emoji13] [emoji13] [emoji13] kashaweka rekodi ya dunia mwenzio lol[emoji12]
 
tatizo nyodooo!!

mwanamke usijione wewe ndo kila kitu!

eti umemuweza mwanaume!

umewakalisha wote

nyodo,dharau na jeuri kwa wenzio mpk kwa wakwe!

As if Huyo mwanaume ulimkuta virgin

Alizidi sana nyodo!
Acha mobeto amkalishe!
Kweli adui muombee njaaa..... Kwa Hiyo sasa hivi uchafu wa simba unasafishwa na nyodo za zari....

Naona team miss tz 2006 shangwe tuu dah
 
Binamu mwenzio anataka aishi maisha ya mitandaoni

Hataki kukubali matokeo!anampenda mwenzenu
.Halafu hajfkirii kua ni mjamzito!
 
Kamuumbua au kajiumbua mwenywe maana kutwa alikua anajiona Queen bey !!! Chezea chibu wewe halafu huyo Zari alivyo mjinga anaacha kudeal na Mond anadeal na michepuko.... kama namuona Wema huko alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alibugi kubeba tena mimba!
 
Kwa kweli angebaki tu kwake atulie alee mimba yake salama, atarushiana maneno na wangapi?. Na michepuko ikiamua kumjibu si atadondoka kwa presha. Juzi tu kala kichambo kwa huddah, asije pata presha bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alikosea sana kubeba tena mimba nyingine angebaki na huyu mmoja tu basi

Alihisi mimba ndio kupendwa pole yake!
 
Zari hawezi kaa mbali na social network!

She is drama queen!!

Maisha yake ni mtandaoni!
 
diamond hatocheki na wanawake;
ana tamaa ya kufunua nyushi wa mabinti zetu;
hata huyu Hamisa mobeto hawezi kaa naye muda mrefu;
 
Heheheee akatoeeee khaaaa ila bi mdanga mpekuzi
 
Kijitu km hamisa kitoto cha tandika kimesoma kata tandika unategemea dai amlale apige kimya mweeeeh[emoji13] [emoji13] [emoji13] kashaweka rekodi ya dunia mwenzio lol[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mobeto nuksiiii!!!

Kaokota dodo kwenye mnazi!
 
Kweli adui muombee njaaa..... Kwa Hiyo sasa hivi uchafu wa simba unasafishwa na nyodo za zari....

Naona team miss tz 2006 shangwe tuu dah
Katunyanyua mashabiki wa wema!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Watu weweeee!
Mabuzi meeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…