Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeee hapatatosha mbona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tehe ikitokea hivvyo wanawake Wa kibongo ninavyo wajua faster atahamia madale na kujimilikisha kila kitu
Na hii nyimbo imekuzwa na hiyo kiki ya kutoka hamisa mobetoHao jamaa wagoroko sana wanatoa nyimbo mbaya wakiona zinabuma wanaanza kutengeneza kiki za kipumbavu Kama hizo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwani zari ana chumba bongo? anazini muda wake ukiisha anakuja mwingine anazini hebu aache kelele
Yeah.. Kucheat kupo tuu, friend game hazikwepek sometimes....kiselaDiamond ndio wa kulaumiwa hapa..km ana cheat c acheat kimya kimya ....mjinga kbsa yani...tatizo pia linakuja una cheat na naniii....anaocheat nao ndio hao wapenda kick..wt next
tatizo nyodooo!!Kwa Hiyo Mme furahi mwanamke mwenzenu kufanyiwa mauza uza????
Kijitu km hamisa kitoto cha tandika kimesoma kata tandika unategemea dai amlale apige kimya mweeeeh[emoji13] [emoji13] [emoji13] kashaweka rekodi ya dunia mwenzio lol[emoji12]Yeah.. Kucheat kupo tuu, friend game hazikwepek sometimes....kisela
Ila heshima muhimu, heshima kwa mke\mchumba muhimu...
Haina sababu ajue au ahisi, hilo ni kosa kubwa.
Kucheat hulka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli adui muombee njaaa..... Kwa Hiyo sasa hivi uchafu wa simba unasafishwa na nyodo za zari....tatizo nyodooo!!
mwanamke usijione wewe ndo kila kitu!
eti umemuweza mwanaume!
umewakalisha wote
nyodo,dharau na jeuri kwa wenzio mpk kwa wakwe!
As if Huyo mwanaume ulimkuta virgin
Alizidi sana nyodo!
Acha mobeto amkalishe!
Binamu mwenzio anataka aishi maisha ya mitandaoniMe ndo maana nawaambiaga "wake", mumeo akichepuka please please inauma but jitahid urelax kwanza. Usideal na mchepuko kabisa, coz kwa mchepuko utaishia tu kupatwa na kichaa cha ndoa. Ona zari anavyohangaika na mimba yake, si kuweka maisha yake na ya mwanae hatarini, hapana jamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamuumbua au kajiumbua mwenywe maana kutwa alikua anajiona Queen bey !!! Chezea chibu wewe halafu huyo Zari alivyo mjinga anaacha kudeal na Mond anadeal na michepuko.... kama namuona Wema huko alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alibugi kubeba tena mimba!Zari yupo kwenye frustration saaana, yaan paka ameshindwa kuji handle na vile mjamzito sasa....
Hapo ndipo tatizo lilipo....ifikie hatua akubali tuu ukweli kwamba simba sio mwanaume wake peke yake.
Kuna mipaka shumekibao inalala ikomba zari aachwe, wachukue nafasi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kweli angebaki tu kwake atulie alee mimba yake salama, atarushiana maneno na wangapi?. Na michepuko ikiamua kumjibu si atadondoka kwa presha. Juzi tu kala kichambo kwa huddah, asije pata presha bure
Zari hawezi kaa mbali na social network![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] akalee wanae kimya kimyaa tena ht social network asiwatupie...wakue wakubwa km kweli dai anamfanyia hivi bibie...dunia itasema nae
Yn mimi km nna uwezo wa kulea wtt wangu aisee mwanaume uninyanyasi why?? Nife kisa mwanaume hahaha hapaanaa
Mzinzi wa zari!Kwani zarina ameolewa na Diamond?? Kumbe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijitu km hamisa kitoto cha tandika kimesoma kata tandika unategemea dai amlale apige kimya mweeeeh[emoji13] [emoji13] [emoji13] kashaweka rekodi ya dunia mwenzio lol[emoji12]
Katunyanyua mashabiki wa wema!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli adui muombee njaaa..... Kwa Hiyo sasa hivi uchafu wa simba unasafishwa na nyodo za zari....
Naona team miss tz 2006 shangwe tuu dah