Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Vanessa kasema Jux ndo anajua utamu wake japo mwamponda, so tako lake jeusi haliwahusu, kajambeni mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bubu kasema Leo!!!

Vanessa nakapendaga
 
Bubu anaropoka hatareeee IG...BTW linah kapost pic na bi mkubwa, raia wanamshambulia ka mchwa, si kwa sofa lile analolikalia bi Mkubwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] ameambiwa anajishauaga kuishi kwenye nyumba za mamilioni wakati mama ake anakalia sofa za foronya, yani kwao aibuu asee!! We Linah uache kujishaua na ununue sofa za leather mxiuuuuuuuu...
 
Bubu anaropoka hatareeee IG...BTW linah kapost pic na bi mkubwa, raia wanamshambulia ka mchwa, si kwa sofa lile analokalia bi Mkubwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] ameambiwa anajishauaga kuishi kwenye nyumbani za mamilioni wakati mama ake anakalia sofa za foronya, yani kwao aibuu asee!! We Linah uache kujishaua mxiuuuuuuuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii

llooohh!
 
Basi huyo Jux anamoyo wa kishujaa kweli kwajinsi nilivyoiona ile picha yule akilalia shuka jeupe ataacha na masizi kabisa!
Mweee kweli, si kwa kutu ile...mie mwanzo hata sikuamini mpaka nilipoona povu lake...
 
Basi huyo Jux anamoyo wa kishujaa kweli kwajinsi nilivyoiona ile picha yule akilalia shuka jeupe ataacha na masizi kabisa!
Wanaume mmebarikiwa asee huwa hamjali, nyie ni kiharage tu[emoji23] [emoji23] mambo mengine akuuu...
 
Camera analotumia vee- money nyookoo, si kwa kujiedit kule
 
Bubu anaropoka hatareeee IG...BTW linah kapost pic na bi mkubwa, raia wanamshambulia ka mchwa, si kwa sofa lile analolikalia bi Mkubwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] ameambiwa anajishauaga kuishi kwenye nyumba za mamilioni wakati mama ake anakalia sofa za foronya, yani kwao aibuu asee!! We Linah uache kujishaua na ununue sofa za leather mxiuuuuuuuu...
Hahahaaa ustaa mzigo wa mwibaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom