Zari Amvaa Mange Kimambi..

Mm nilimuonaga zamani uyu mama kua hajiheshimu wala sio kama watu wanavyomdhani
Tangu achukue mavideo ya nusu uchi chooni na diamond, mama ake kafa kaenda mombasa na bwana ake kabla ya 40
Alinichoshaga kabisa
Wanawake wote ni viazi sana ndugu yangu, inategemea ni majira gani tu. Ila zari ana akili sana.
 
Mkuu izo nyota hapo, unamaanisha?
 
Tatizo unalazimisha wote tuwe na mtizamo sawa, mahaba yako yasikufanye uwe kipofu kuona huyo mama kachanganyikiwa, mambo ya nyumba mimi wala sipo huko, namuongelea mambo yake kujibu watu hovyo na kuwadharau, hao watanzania kutwa wanaitwa mabox na low life lakini bado tu wanamfata sijui lugha ngumu au ndio kutokujielewa kwa wengi,

Na kusema eti kuweka mitandaoni sio tumuamulie kama alikua hataki azungumziwe asingeweka mitandaoni, mtu yupo late 40s huko anajifanya yupo mid 30's mpk UK wakamuumbua hahaha,
kwa title yake kushinda mitandaoni kutukanana na kina Hamisa, Wema na Mange ni ujinga wa kiwango cha kimataifa, ndio maana nikatolea mfano wa Huddah Monroe wakati mwingine bhana shule inasaidia sana.
 
Mm nilimuonaga zamani uyu mama kua hajiheshimu wala sio kama watu wanavyomdhani
Tangu achukue mavideo ya nusu uchi chooni na diamond, mama ake kafa kaenda mombasa na bwana ake kabla ya 40
Alinichoshaga kabisa
Sio mzima kichwani na umesahau kwenye msiba wa mama yake wakawa wanashikana shikana kimahaba na Mond ambae leo hii anamuita 'domo' wakati kamjazia madomo humo ndani, hahahaha
 
Sina mahaba na zari, ila wanawake wote wenye msuli wa kuongea mbele za watu.

Leo hii zari kamtikana nani kama sio tu kukwambia ukweli!!! Wewe unaenda kwenye page ya zari unamzomea eti kaachwa na sasa anaolewa mtz mwenzako!!! Si ni bangi hizi! Unategemea akupe bango gani!!
 

Bora kulia kwenye Ferrari shostito , kuliko kulia kwenye Ma Tatizo kama ya mange Ndo shida Sasa , zari kawapiku mademu wengi sana Yule
 
Kusema ukweli kua mashauzi yake yote sababu anatembeza K yake sivyo? nilijua ni akili zake kumbe hana tofauti na wale wa Kimboka hahahaha
 
Bora kulia kwenye Ferrari shostito , kuliko kulia kwenye Ma Tatizo kama ya mange Ndo shida Sasa , zari kawapiku mademu wengi sana Yule
Yaani anaye salitiwa na mengi awe sawa na anayesalitiwa na mimi jamani[emoji16][emoji16][emoji16].

Wote wanalia sawa. Ila hawawezi kulia kwa namna moja.
 
Zari anahangaisha wengi jamani. Ee KAMA KUFAKE RAHISI HEBU NA NYIE FANYENI HIVYO TUWAONE. MNALIA LIA MTU MWENYEWE MMEMKUTA LIFE YAKE HIO MIAKA NENDA RUDI.

MNATAMANI HATA MUMNYANGANYE WATOTO KWA KISINGIZIO SIO WAKE BALI ALI FAKE MIMBA aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…