Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hapo hata Mimi nilimuonaga hamnazo kwa kweli yaani dah!
Yaani hata shetani anashangaaa hayo mambo kwa kweli alikosea bwana
Yaani hata shetani anashangaaa hayo mambo kwa kweli alikosea bwana
Mm nilimuonaga zamani uyu mama kua hajiheshimu wala sio kama watu wanavyomdhani
Tangu achukue mavideo ya nusu uchi chooni na diamond, mama ake kafa kaenda mombasa na bwana ake kabla ya 40
Alinichoshaga kabisa